Tofauti kati ya marekesbisho "Jerry Rawlings"

1,292 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Muhtasari''' Jerry Rawlings ni rais wa zamani wa Ghana na afisa wa zamani wa kijeshi.  Aliongoza nchi ya Ghana kutoka mwaka wa 1981 hadi mwaka wa 2001 na k...')
 
[[Picha:Jerry Rawlings visits AMISOM 02 (6874167713) (cropped).jpg|thumb|
'''Muhtasari'''
{| class="wikitable"
! colspan="2" |Rais wa Ghana <small>(1st President of the 4th Republic)</small>
|-
| colspan="2" |'''In office'''7 January 1993 – 7 January 2001
|-
!Vice President
|Kow Nkensen Arkaah (1993–1997)John Atta Mills (1997–2001)
|-
!Preceded by
|Himself
|-
!Succeeded by
|John Agyekum Kufuor
|-
! colspan="2" |Head of State of Ghana
|-
| colspan="2" |'''In office'''31 December 1981 – 7 January 1993
|-
!Vice President
|None
|-
!Preceded by
|Hilla Limann
|-
! colspan="2" |Head of State of Ghana
|-
| colspan="2" |'''In office'''4 June 1979 – 24 September 1979
|-
!Preceded by
|General Fred Akuffo
|-
!Succeeded by
|Hilla Limann
|-
! colspan="2" |Personal details
|-
!Born
|22 June 1947 (age 72)Accra, Gold Coast (now Ghana)
|-
!Political party
|<small>military – AFRC (1979)</small><small>military – PNDC (1981–93)</small><small>Multi-Party Democracy – NDC(1993–2001)</small>
|-
!Spouse(s)
|Nana Konadu Agyeman Rawlings
|-
!Children
|5
|-
!Profession
|Fighter pilot
|-
!Awards
|UDS Honorary Award
|-
! colspan="2" |Military service
|-
!Allegiance
|Ghana
|-
!Branch/service
|Ghana Air Force
|-
!Years of service
|1968–92
|-
!Rank
|Flight Lieutenant
|}
]]
 
== '''Muhtasari''' ==
Jerry Rawlings ni rais wa zamani wa Ghana na afisa wa zamani wa kijeshi.  Aliongoza nchi ya Ghana kutoka mwaka wa 1981 hadi mwaka wa 2001 na kwa muda mfupi mwaka wa 1979.  Pamoja na viongozi wengine wa kijeshi, walitawala mpaka mwaka wa 1992.  Baadaye, Mzee Rawlings aliunda National Democratic Congress (NDC) na aliwahi kuwa rais wa Ghana mara mbili.
 
== '''Maisha ya utotoni''' ==
 
Mzee Rawlings alizaliwa mji wa Accra, nchi ya Gold Coast tarehe 22 mwezi wa 6 mwaka wa 1947.  Wazazi wake wanaitwa Victoria Agbotui na James Ramsey John.  Mama yake alitoka Gold Coast.  Baba yake aliishi katika ngome ya Douglas katika Kirkcudbrightshire nchi ya Scotland.  Makabila ya mama yake yalikuwa Nzema na Ewe lakini hii haikuathiri siasa zake.  
 
== '''Elimu na hudumu kwa jeshi''' ==
 
Alienda shule ya upili ya Achimota kisha alisoma Chuo cha Achimota.  Alijunga na Jeshi la Anga la Ghana muda mfupi baadaye.  Katika Jeshi la Anga, aliishi Takoradi, katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana, ili kuendelea na masomo.  Yeye alihitimu mnamo mwezi wa kwanza mwaka 1969 na kuwa Afisa Mwanahewa.  Yeye alikuwa luteni katika jeshi la anga la Ghana mwezi wa nne mwaka wa 1978.
 
Mnamo tarehe 15 mwezi wa tano mwaka wa 1979, wiki tano kabla ya uchaguzi wa kitaifa, Rawlings na askari wengine sita walifanya mapinduzi dhidi ya serikali ya Jenerali Acheampong, lakini walishindwa na alikamatwa na Jeshi la Ghana.  Alihukumiwa hadharani kifo.  Wakati wakingojea kuuawa kwake, Rawlings alitoroka kutoka kizuizini tarehe 4 mwezi wa sita mwaka wa 1979 na kikundi cha askari.  Mnamo mwaka wa 1982 alijaribu mapinduzi mengine dhidi ya Rais Hilla Limann na akafanikiwa.  Mzee Rawlings alitawala kupitia Provisional National Defence Council (PNDC) hadi mwaka wa 1992.  Kisha akawania urais na akashinda.
 
== '''Familia''' ==
 
Yeye alifunga ndoa na Nana Konadu Agyeman.  Walikutana katika chuo Kikuu cha Achimota.  Wana watoto wanne.  Wana watoto watatu wa kike wanaitwa Ezanetor Rawlings, Yaa Asantewaa, na Amina Rawlings.  Wana mtoto mmoja wa kiume anaitwa Kimith Rawlings.  
 
== '''Maisha ya baada ya urais''' ==
 
Mnamo mwezi wa kumi na moja mwaka wa 2000, Mzee Rawlings alipewa tuzo ya kwanza ya Year of Volunteers 2001 Eminent Person na katibu wa Umoja wa Mataifa.  Baada ya kupokea tuzo, alizungumza kuhusu kujitolea.  Mnamo mwezi wa kumi mwaka wa 2010, yeye alikuwa mwakilishi wa Jumuiya ya Afrika nchini Somalia. Sasa yeye hutoa hotuba katika vyuo vikuu.
----'''Marejeleo'''
3

edits