Tofauti kati ya marekesbisho "Michael Jackson"

1 byte removed ,  mwaka 1 uliopita
d
nimebadilisha kwa sababu maneno yaliyo tumika hayakuleta maana nzuri
d (nimebadilisha kwa sababu maneno yaliyo tumika hayakuleta maana nzuri)
 
== Maisha binafsi ==
Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, lakini hakukutanika na kosa. Alifanya upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya [[Mwamerika mweusi]] mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua lakeyake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Watu waliomtazama hawakupatana kama mabadiliko ya kimaumbile yalikuwa ama tokeo la kuona aibu kuonekana kama Mwafrika au jaribio kuwa na uso linalorahisisha mawasiliano yake na watu wa bara zote.
 
Michael, alimwoa Bi. [[Lisa Marie Presley]], [[binti]] wa [[Elvis Presley]]. Jackson, pia alikuwa akimiliki eneo kubwa lenye makazi lililoitwa Neverland, ambalo baadaye liliuzwa kwa kampuni na nusu bado inamilikiwa na mwenyewe.
 
== Mautikifo ==
Michael Jackson amefariki mnamo tar. [[25 Juni]] [[2009]] baada ya kuwaisha katika hospitali ya [[Ronald Reagan UCLA Medical Center|UCLA Medical Center]].<ref>{{cite news | first=Andrew | last=Blankstein | coauthors= Phil Willon |authorlink= | title=Michael Jackson is dead [Updated] | date=25 Juni 2009 | publisher= | url =http://latimesblogs.latimes.com/lanow/2009/06/pop-star-michael-jackson-was-rushed-to-a-hospital-this-afternoon-by-los-angeles-fire-department-paramedics--capt-steve-ruda.html | work =[[The LA Times]] | pages = | accessdate = 25 Juni 2009| language = }}</ref> Ilifikiriwa kwamba alipata mshtuko wa moyo, ikiwa na maana kwamba moyo wake ulisimama na imeonekana ya kwamba sababu yake ilikuwa matumizi mabaya ya madawa mengi mno.<ref>{{cite web|url=http://www.foxnews.com/story/0,2933,529103,00.html|title=AP: Michael Jackson Dies at Los Angeles Hospital|date=25-06-2009|accessdate=25-06-2009}}</ref> At 4:36 pm local time, the Los Angeles [[coroner]] confirmed Jackson's death.<ref>{{cite news |title=Special Report with Keith Olberman |publisher=[[MSNBC]] |media=Television |date=25 Juni 2009 |accessdate=2009-06-25}}</ref>