Kamera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Praktica.jpg|alt=Kamera|thumb|Kamera.]]
'''Kamera''' ni [[kifaa]] kinachochukua [[picha]]. Ina [[tundu]] moja dogo tu kwa kupokea [[nuru]] inayoacha [[picha]] ndani yake ama kwenye [[filamu (mkanda)|filamu]] au kwenye kihisio [[elektroniki]]. Kwa kawaida [[nafasi]] hii huwa na [[lenzi]] inayozalisha picha ya yale yaliyo nje.
 
[[Kamera]] tuli hushika [[picha]] moja-moja. Picha zinazopigwa mfululizo, angalau [[picha]] 15 kwa [[sekunde]] au zaidi, zinaweza kushika [[mwendo]] utakaoonekana baadaye kama filamu kama [[picha]] hizi zinaonyeshwa mfululizo kwa kutumia projekta au kwenye skrini ya sinema [[runinga]] au kompyuta.
 
Kamera zote kimsingi ni [[sanduku]] inayofungwa pande zote. [[Nuru]] haiwezi kuingia mpaka [[kilango]] kinafunguliwa n kupitisha [[nuru]] kwa kipindi kifupi cha sehemu ya [[sekunde]] pekee. Kilango hiki kipo nyuma ya [[lenzi]]. Kwa upande mwingine ni [[wenzo]] maalum ambao unaweza ku rekodi [[rekodipicha]] picha ambayo inakuja kupitia [[lenzi]]. [[Wenzo]] huu ni [[filamu]] katika [[kamera]] ya [[filamu]] au kihisio [[elektroniki]] katika [[kamera dijiti]].
 
Wakati [[picha]] inachukuliwa, kilango kinatoka nje ya njia. Hii inawezesha [[nuru]] kuingia kwa njia ya [[lenzi]] na kuzalisha [[picha]] kwenye [[filamu]] au kihisio [[elektroniki]]. Katika [[kamera]] nyingi, ukubwa wa [[tundu]] unaweza kubadilishwa kulingana na mwangaza au [[giza]] ya [[mazingira]]. Muda ambao [[kifuniko]] kinauwezesha [[mwanga]] inaweza pia kubadilishwa. Hii pia inakuwezesha [[mwanga]] zaidi au [[mwanga]] mdogo. Mara nyingi, [[umeme]] ndani ya [[kamera]] hudhibiti haya, lakini katika [[kamera]] nyingine mtu anayeichukua [[picha]] anaweza kubadilisha pia.
 
[[Lenzi]] humwezesha [[mpigapicha]] kuvuta mbali au karibu picha anayoipiga. Kwa njia hii [[mpigapicha]] anapata [[uwezo]] wa kupiga kwa urahisi [[picha]] ya kitu kilicho mbali au kitu kidogo sana na kupata picha safi.
 
[[Kamera]] nyingi huwa na [[lenzi]] yake na [[uwezo]] wa kuongezewa [[lenzi]] nyingine ya nje kulingana na [[kazi]] inayolengwa kufanywa. [[Lenzi]] za nje zina [[uwezo]] na [[urefu]] wa kuona tofauti kulingana na [[ukubwa]] wake na [[idadi]] ya [[lenzi]] zinazotumika. Kuna [[lenzi]] za nje za [[kamera]] za [[simu]] pia.
 
== Tanbihi ==