Tofauti kati ya marekesbisho "Mohamed Salah"

146 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
d
nimebadilisha kwa sababu ya kuongeza taarifa
d
d (nimebadilisha kwa sababu ya kuongeza taarifa)
Kwa sasa ameshinda tuzo mbili ambazo ni mchezaji bora wa msimu, na mfungaji bora wa msimu kwa kushinda kiatu cha dhahabu mwaka 2018.
 
aliiwakilisha egypt katika mashindano ya vijana na kushinda medali ya kombe la mataifa chini ya miaka ishirini,na kushiriki kombe la dunia la FIFA chini ya miaka ishirini mwaka 2011 na ametwaa taji la ligi ya mabingwa ulaya mwaka 2018 na aliisaidia timu yake ya misri kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya AFCON 2019.
 
{{mbegu-cheza-mpira}}