Tofauti kati ya marekesbisho "Idi Amin"

2 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
d (Masahihisho aliyefanya Athanas chrisostom (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
 
Amin alianza kuajiri hasa askari kutoka kaskazini ya Uganda mpakani mwa [[Sudani]].<ref name="Anyanya">{{cite web|url=http://www.kas.org.za/Publications/SeminarReports/PoliticsofIdentityandExclusion/nantulya.pdf#search=%22%22idi%20amin%22%20anyanya%22|title=''Exclusion, Identity and Armed Conflict: A Historical Survey of the Politics of Confrontation in Uganda with Specific Reference to the Independence Era''|archiveurl=https://web.archive.org/web/20061004231023/http://www.kas.org.za/Publications/SeminarReports/PoliticsofIdentityandExclusion/nantulya.pdf|archivedate=4 October 2006|year=2001|last=Nantulya|first=Paul}}</ref>
[[File:Obote cropped.png|thumb|right||[[Milton Obote]], Uganda'sRaisi secondwa President,pili whomwa AminUganda, overthrewAmbaye inalipinduliwa akidkteta coupnaIdi d'étatAmin inmwaka 1971]]
 
Mwaka 1970 Obote aliendelea kumpa Amin cheo cha mkuu wa mikono yote ya jeshi na ulinzi. Lakini Amin alisikia pia ya kwamba kulikuwa na mashtaka dhidi yake kutokana na matumizi ya makisio ya jeshi na mipango ya Obote kumfanyia utafiti. Hapo Amin alitumia nafasi ya safari ya Obote kwenda nje kuhudhuria mkutano wa [[Jumuiya ya Madola]], akatwaa [[mamlaka]] ya serikali tarehe 25 Januari 1971.<ref>[https://web.archive.org/web/20070225004054/http://www.britishcouncil.org/learnenglish-central-history-amin.htm "General Idi Amin overthrows Ugandan government"]. British Council. 2 February 1971. Archived from the original on 25 February 2007. Retrieved 8 August 2009.</ref>