Aleksander Mashuhuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Napoli_BW_2013-05-16_16-24-01_DxO.jpg with File:Napoli_BW_2013-05-16_16-24-01.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed:).
d nimebadilisha kwa sababu maneno yaliyo tumika hayakuleta maana nzuri
Mstari 43:
[[Picha:Alexander & Bucephalus by John Steell.JPG|thumbnail|220px|Aleksander na farasi Bukefalos; sanamu ya bronzi ya John Steell ya 1884]]
 
Aleksander alizaliwa mwaka 356 KK kama mwana wa mfalme [[Filippo II wa Masedonia]] na malkia Olympias. Masedonia ilikuwa nchi katika kaskazini ya [[Ugiriki ya Kale]] na WgirikiWagiriki wengi waliwatazama Wamasedonia kama washenzi walio nje ya ustaarabu wa Ugiriki. Tofauti na Ugiriki ya Kale iliyokuwa jamii ya [[madola-miji]] Masedonia iikuwa jamii ya miji michache na watu wengi walioishi vijijini. Ilitokea katika karne ya 5 KK tu ya kwamba wanamichezo kutoka Masedonia walikubaliwa kwenye [[Michezo ya Olimpiki]].<ref>Kwenye Michezo ya Olimpiki ya Kale ni Wagiriki pekee walioruhusiwa. Wamasedonia walikubaliwa kwa sababu mfalme wao alieleza ya kwamba alikuwa na mababu Wagiriki </ref>.
 
Filippo II alibadilisha hali ya Masedonia kwa kuimarisha jeshi lake hasa kuanzisha mbinu mpya za kupanga wanajeshi katika vikosi vya [[phalanx]] vyenye mikuku mirefu sana na kuunda vikosi vya [[askari farasi]] wazito wailokingwa kwa nguo za chuma kifuani na [[kofia kinga]]. Kwa kutumia jeshi hili alishinda madola mengine ya Ugiriki na majirani upande wa kaskazini na kuupatia ufalme wake kipaumbele katika Ugiriki. Baada ya kuunganisha Ugiriki chini ya uongozi wake kwa upanga alilenga kushinda pia mioyo yao kwa kuanza vita dhidi ya [[Milki ya Uajemi]] iliyowahi kupigana vita na Wagiriki mara kadhaa. Alianza kutuma sehemu ya jeshi kwenda [[Asia Ndogo]]<ref>Eneo la Uturuki ya leo</ref> iliyokuwa wakati ule sehemu ya [[Milki ya Uajemi]].