Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
Aliingia jeshini huko [[Jinja]] akifanya kazi ya msaidizi [[jiko|jikoni]] akiendelea kupokea mafunzo ya kijeshi.<ref name="britannica">{{cite web |url=http://www.britannica.com/eb/article-9007180|title=Idi Amin|archiveurl=https://web.archive.org/web/20070314142415/http://www.britannica.com/eb/article-9007180/Idi-Amin |archivedate=14 March 2007 |work=Encyclopædia Britannica|date=19 December 2008|accessdate=8 August 2009}}</ref> Baadaye Amin alidai ya kwamba alilazimishwa kuhudumia huko [[Burma]] katika [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref name="guardian_obit" /><ref name=portrait>{{cite video|publisher=Le Figaro Films|title=General Idi Amin Dada: A Self Portrait|year=1974|ISBN=0-7800-2507-5}}</ref><ref>{{cite news|url=http://www.strategypage.com/on_point/20030820.aspx|title=Why Didn't Amin Rot and Die in Jail?|work=Strategy Page|last=Bay|first=Austin|date=20 August 2003|accessdate=8 August 2009}}</ref> Mwaka [[1947]] alihamishiwa [[Gilgil]], [[Kenya]]. Mwaka [[1949]] alitumwa kaskazini kwa kupigania waasi [[Wasomalia]] huko. Tangu mwaka [[1952]] kikosi chake kilihudhuria katika juhudi za kupambana na wanamgambo wa [[Maumau]] karibu na [[Mlima Kenya]].
 
AliendelaAliendelea kupanda vyeo vilivyopatikana kwa [[Waafrika]] katika jeshi la KAR na muda mfupi baada ya [[uhuru]] alipewa cheo cha [[luteni]] yaani afisa kamili kama mmoja wa Wauganda wawili. Baada ya uhuru wa Uganda mwaka [[1962]] alikuwa [[kapteni]] halafu mwaka [[1963]] [[meja]]. Mwaka [[1964]] alikuwa makamu wa mkuu na mwaka [[1965]] mkuu wa jeshi, mwaka [[1970]] mkuu wa mikono yote ya kijeshi.<ref name="monitor_01012004" /> In 1970, he was promoted to commander of all the armed forces.<ref name=britishcouncil>{{cite web|url=http://www.britishcouncil.org/learnenglish-central-history-amin.htm|title=General Idi Amin overthrows Ugandan government|publisher=British Council|date=2 February 1971|accessdate=8 August 2009|archive-url=https://web.archive.org/web/20070225004054/http://www.britishcouncil.org/learnenglish-central-history-amin.htm|archive-date=25 February 2007}}</ref>
 
{| class="wikitable" style="float:right; margin-left:3.5em; padding-left:2em; font-size:85%;"
Mstari 82:
 
Amin alianza kuajiri hasa askari kutoka kaskazini ya Uganda mpakani mwa [[Sudani]].<ref name="Anyanya">{{cite web|url=http://www.kas.org.za/Publications/SeminarReports/PoliticsofIdentityandExclusion/nantulya.pdf#search=%22%22idi%20amin%22%20anyanya%22|title=''Exclusion, Identity and Armed Conflict: A Historical Survey of the Politics of Confrontation in Uganda with Specific Reference to the Independence Era''|archiveurl=https://web.archive.org/web/20061004231023/http://www.kas.org.za/Publications/SeminarReports/PoliticsofIdentityandExclusion/nantulya.pdf|archivedate=4 October 2006|year=2001|last=Nantulya|first=Paul}}</ref>
[[File:Obote cropped.png|thumb|right|[[Milton Obote]], RaisiRais wa pili wa Uganda, Ambayeambaye alipinduliwa kidktetana naIdiIdi Amin mwaka 1971.]]
 
Mwaka 1970 Obote aliendelea kumpa Amin cheo cha mkuu wa mikono yote ya jeshi na ulinzi. Lakini Amin alisikia pia ya kwamba kulikuwa na mashtaka dhidi yake kutokana na matumizi ya makisio ya jeshi na mipango ya Obote kumfanyia utafiti. Hapo Amin alitumia nafasi ya safari ya Obote kwenda nje kuhudhuria mkutano wa [[Jumuiya ya Madola]], akatwaa [[mamlaka]] ya serikali tarehe 25 Januari 1971.<ref>[https://web.archive.org/web/20070225004054/http://www.britishcouncil.org/learnenglish-central-history-amin.htm "General Idi Amin overthrows Ugandan government"]. British Council. 2 February 1971. Archived from the original on 25 February 2007. Retrieved 8 August 2009.</ref>
Mstari 103:
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1923|2003}}
 
{{DEFAULTSORT:Amin}}