Dayolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Galileos Dialogue Title Page.png|thumb|right|[[Kitabu]] cha [[Galileo Galilei]] kinachoitwa Dayolojia kuhusu namba mbili za kuelewa ulimwengu, [[1632]].]]
'''Dayolojia''' (kwa [[Kiingereza]]: "dialogue" na pia "dialog"<ref>"Dialogue", ''Oxford English Dictionary'', 2nd edition</ref>, kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] διά, dia, ''kati ya'' na λόγος, logos, ''neno''<ref>{{Cite journal|url = http://grbs.library.duke.edu/article/view/14987/6295|title = From Dialogos to Dialogue: The Use of the Term from Plato to the Second Century CE|last = Jazdzewska|first = K.|date = 1 June 2015|journal = Greek, Roman and Byzantine Studies 54.1 (2014), p. 17-36|doi = |pmid = |access-date = }}</ref>) ni [[mazungumzo]] ya kupokezana kati ya [[watu]] wawili au zaidi.
 
Dayolojia huweza kuwa ya ana kwa ana baina ya [[wazungumzaji]] au kwa njia ya [[simu]], [[maandishi]] n.k.
 
Dayolojia ya ana kwa ana ni [[mazungumzo]] ya kupokezana baina ya [[watu]] ambao huonana.
 
Dayolojia inaweza kubuniwa pia. Hapo [[mtunzi]] hana budi kujifanya kama [[mhusika]] katika dayolojia hiyo.
 
Katika kutunga dayalojia [[mtunzi]] hana budi kujifanya kama mhusika katika dayalojia hiyo. Kwanza anapaswa kutafakari kwa makini mada anayokusudia kuandikia dayalojia, kutayarisha na kupanga mawazo kimantiki na kwa mtiririko na kufikiria wahusika na kuwapangia [[majukumu]] kulingana na [[matendo]] yao. Kwa mfano kama [[mhusika]] ni [[mkulima]], lugha anayopewa, [[vifaa]] anavyosemekana kuvitumia na [[mandhari]] aliyomo ni lazima vifanane na hali ya [[mkulima]] halisi.
 
Mambo ya kuzingatia katika dayalojia ni pamoja na haya yafuatayo:
# Kutoa maelezo ya [[ufafanuzi]] katika [[mabano]] ili kumfahamisha
# Kuwa na [[mazungumzo]] ya [[mkato]] na yasiyozidiana sana kati ya [[wahusika]]. [[Mhusika]] mmoja asitawale [[mazungumzo]] kupita wengine.
# Kutumia vihisishi ili kufanya dayalojia iwe ya kusisimua
# Pawepo [[mwingiliano]] wa [[mazungumzo]] ya [[wahusika]] na kudakia [[maneno]] ili dayalojia iwe na uhalisia.
 
==Tanbihi==