Tofauti kati ya marekesbisho "Nandy"

84 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
nimebadilisha ili kuongeza taarifa
(nimebadilisha ili kuongeza taarifa)
Kazi yake ilianza kujulikana baada ya rafiki yake kumtambulisha kwa Ruge Mutahaba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania House of Talent (THT). Hapa ndipo alipokutana na Ema the Boy, ambaye ndiye aliyekuja kumtayarishia kibao chake maarufu cha ''Nagusagusa''.Wimbo ulikuja kutamba mno wiki tu tangu kutolewa kwake.
 
Mwanzoni mwa mwaka wa 2016 alishiriki kwenye mashindano ya kuimba yaliyoandaliwa na ''Tecno''. Shindano lilishirikisha washiriki wengine kutoka nchi kibao za Afrika na kipindi cha fainali kilichofanyika huko [[Lagos|Lagos, Nigeria]], Nandy aliibuka kama mshindi wa pili. Shindano hili lilimkuza kimuziki, hasa katika suala zima la utumbuizaji jukwaani, alipata maarifa ya ya muhimu kutoka kwa makungwi wa muziki kama vile akina [[M.I Abaga]], [[Yemi Alade]] na Bien wa [[Sauti Sol]].<ref>{{Cite news|url=http://www.pulse.ng/entertainment/movies/tecno-own-the-stage-29-year-old-wins-25k-recording-deal-id4658851.html|title=29-year-old wins $25K, recording deal|work=pulse.ng|accessdate=4 May 2018|language=en-us}}</ref><ref>{{Cite news|url=http://allafrica.com/stories/201602120881.html|title=Tanzania: Heartbreak for Tanzania's Nandy in Lagos|work=allafrica.com|accessdate=4 May 2018|language=en-us|subscription=yes}}</ref>
 
Mwaka wa 2017 alitoa kibao chake kikali kilichokwenda kwa jina la ''One Day'' ambacho kilisukuma kazi yake na hatimaye kumpa nafasi kadhaa zilizomfanya hadi kushiriki kwenye Coke Studio Africa 2017 na mwaka huohuo akaja kuchaguliwa kwenye tuzo za [[All_Africa_Music_Awards#2017_Edition|All Africa Music Awards]] katika kundi la wanamuziki bora wa kike kutoka Afrika Mashariki na kuibuka mshindi. na akatoa kibao kiitwacho kivuruge na hivi sasa anatamba na wimbo wake ambao amefanyakazi yeye na willy paul ambao jina lake ni hallelujjah<ref>{{Cite web|url=http://www.coca-cola.co.ke/cokestudio/home/artists/season05/nandy/|title=MEET THE AFRICAN PRINCESS|work=coca-cola.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.coca-colacompany.com/videos/nandy-mane-fitsum-cover-coke-studio-africa-ytgokxzmofrtc|title=Nandy: Mane Fitsum (Cover) - Coke Studio Africa|work=coca-colacompany.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://celebvibestar.co.ke/aslay-nandy-subalkheri-mpenzi/|title=Aslay – Subalkheri Mpenzi Ft Nandy|work=celebvibestar.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.ethiosports.com/2017/09/09/coke-studio-africa-2017-officially-launches-in-ethiopia/|title=Coke Studio Africa 2017 Officially Launches In Ethiopia|work=ethiosports.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Nandy-and-AliKiba-shine-at-Afrima/1843792-4190288-al1cfbz/index.html|title=Nandy and AliKiba shine at Afrima|work=thecitizen.co.tz|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.mwananchi.co.tz/Makala/Nandy-atamani-kuwa-kama-Beyonce/1597592-3845790-9lst8s/index.html|title=Nandy atamani kuwa kama Beyonce|work=mwananchi.co.tz|language=sw|accessdate=4 May 2018}}</ref>
 
===Albamu===