Mabwepande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
 
}}
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Kinondoni]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''14134'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref>. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 25,460 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.nbs.go.tz/sensa/index.html|title=Ripoti Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2012|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=15-12-2013}}</ref>.

Mabwepande ina [[msitu]] mkubwa ambao unaitwa [[msitu wa Pande]],. [[Msitu]] huu unasifikaunajulikana kwa [[vitendo vya kigaidi]] ambapo [[Dr. Ulimboka]] alifanyiwa [[vitendo vya kigaidi]] katika [[msitu]] huo.
 
Ndani ya Mwabepande kuna [[mji]] mpya uitwao Kinondo unaokuja kwa kasi, ila wakazi wake wanalalamikia kutokuwa na [[daraja]].
 
Kipindi cha [[mvua]], Kinondo inageuka kuwa [[kisiwa]], hivyo [[watoto]] wanashindwa kuenda [[shule]]. Pia mijimitaa mingine ambayo inapatikana mabwepandeMabwepande ni [[Manzese]], [[Banana]], [[Monduli]], [[Malolo]], [[Mji mpya]], [[Vikawe]] na [[Njechele]].
 
[[Mkuu wa Mkoa]] wa Dar es Salaam, [[Paul Makonda]], amewahi kufika katika kata hiyo kutatua migogoro ya ardhi.https://www.facebook.com/247412001951938/photos/wananchi-wanaodaiwa-kuvamia-shamba-la-waziri-mkuu-mstaafu-fredrick-sumaye-lililo/1262424543784007/