Tofauti kati ya marekesbisho "Rayvanny"

d
nimebadilisha ili kuongeza taarifa
d (Masahihisho aliyefanya 41.75.220.192 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
d (nimebadilisha ili kuongeza taarifa)
'''Raymond Shaban Mwakyusa''' (anafahamika zaidi kwa jina lake kama '''Rayvanny'''; amezaliwa [[22 Agosti]] [[1994]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa kizazi kipya kutoka [[Tanzania]] (kwa asili ni mtu wa mkoani [[Mbeya]]).
 
"Rayvanny" alianza kujulikana kupitia [[wimbo]] wake "[[Kwetu]]"<ref>{{Cite web|url=http://www.mtvbase.com/news/acts-to-lookout-for-in-2017/vnwv7i|title=mtv news {{!}} top african acts to lookout for in 2017 {{!}} MTV Africa|website=www.mtvbase.com|access-date=2017-10-03}}</ref> si siku nyingi sana tangu [[Harmonize]] atoe wimbo wake wa [[Bado|Bado.]] Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What's My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na [[Queen Darleen]]. pochi nene aliyo imba na s2kizzy na baadaye mwanza wimbo ambao aliimba na msanii mwenzie dimond platnumz na wimbo huo ulifungiwa na Baraza la Sanaa nchini tanzania BASATA kutokana na kutokuwa na maadili mema hivyo kufanya wimbo huo kufungiwa kupigwa kwenye vyombo vya habari nchini Tanzania na baada ya wimbo huo kufungiwa yeye na dimond wa katoa wimbo uotwao tetema wimbo ambao ulipendwa na watu wengi sana na wimbo huo kuufanya kuwa na watazamaji wengi sana kwenya mitandao ya kijamii kwa mda mfupi sana
 
==Albamu==