Chandarua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[File:Mosquito net.jpg|thumb|Hema lililotengenezwa kwa chandarua.]]
[[File:Window with insect screen.JPG|thumb|Chandarua dirishani.]]
'''Chandarua''' (kutoka [[neno]] la [[Kihindi]]) ni [[kitambaa]] cha [[wavu]] kinachotundikwa hasa [[Kitanda|kitandani]] ili kumkinga [[mtu]] asiumwe na [[mbu]] anapolala.Pia kinaweza kutundikwa katika [[dirisha|madirisha]] na [[Mlango|milango]] ili [[wadudu]] wasiingie ndani.
 
Pia kinaweza kutundikwa katika [[dirisha|madirisha]] na [[Mlango|milango]] ili [[wadudu]] wasiingie ndani.
 
Kwa mbinu hizo [[binadamu]] anajaribu kujihami na [[maradhi]] yanayosambazwa na mbu na wadudu wengine, kama vile [[malaria]] n.k.