Tofauti kati ya marekesbisho "Harmonize"

1 byte removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (nimebadilisha ili kuongeza taarifa)
{{Infobox musical artist|thumb|Jina=Harmonize|Img=|Img_capt=|Background=solo_singer|Jina la kuzaliwa=Rajab Abdul Kahali|Pia anajulikana kama=Harmonize|Amezaliwa={{birth date and age|1994|4|15|df=yes}}|Asili yake=[[Mtwara]],[[Tanzania]]|Ala=[[Piano]], [[Mwimbaji|sauti]]|Aina=[[Bongo Flava]],''Afro Pop''|Kazi yake=[[Mwimbaji]]-[[mtunzi wa nyimbo|mtunzi]], [[mtayarishaji wa rekodi]]|Miaka ya kazi=2011–mpaka sasa|Studio=[[Wasafi Records]]|Ameshirikiana na=[[Rayvanny]], [[Diamond Platnumz]]|Tovuti=[http://www.djlytmas.blogspot.com/ Tovuti Halisi]}}'''Harmonize''' (kwa [[jina]] lake halisi '''Rajab Abdul Kahali''';amezaliwa [[15 Aprili]] [[1994]] ni [[mwimbaji]] na mtunzi wa muziki kutoka [[Tanzania]]. Harmonize ana asili ya mkoa [[Mtwara]] na mara kadhaa hujiita "Konde Boy". Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "[[Aiyola]]" (2015), [[Bado]] (2016), [[Matatizo]] (2016) na na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni dimond platnumz nyimbo ambayo iitwayo kwangalu wimbo ambo ulibamba kalibia maeneo yote ya East Afrika na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burma na dimond platnimz alikuwepo kwenye uo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana Harmonize anasimamiwa na [[Joel V. Joseph|Joel Joseph]] au kwa jina lingine Mr Puaz
'''Harmonize''' (kwa [[jina]] lake halisi '''Rajab Abdul Kahali'''; mara kadhaa hujiita "Konde Boy"; amezaliwa [[15 Aprili]] [[1994]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] kutoka [[Tanzania]].
 
Harmonize ana asili ya [[mkoa wa Mtwara]]. Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "[[Aiyola]]" (2015), [[Bado]] (2016), [[Matatizo]] (2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni [[Diamond Platnumz]].
 
Kwangalu ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya East Afrika na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burma na dimond platnimz alikuwepo kwenye uo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana Harmonize anasimamiwa na [[Joel V. Joseph|Joel Joseph]] au kwa jina lingine Mr Puaz
 
==Maisha ya Awali==