Uti wa mgongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 212.10.18.145 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
[[File:uti wa mgongo, ubavu.jpg|thumb|right|150px| - Uti wa mgongo katika mwili wa kibinadamu]]
[[Picha:Gray 111 - Vertebral column-coloured.png|thumbnail|Sehemu za uti wa mgongo]]
'''Uti wa mgongo''' ni jina kwa [[nguzo]] ya [[mifupa]] ambayo ni kitovu[[kiini]] cha [[kiunzi cha mifupa]] kwakatika [[miili]] ya [[vetebrata]] kama [[binadamu]], [[mamalia]] wote na pia [[wanyama]] wengine wengi kama [[samaki]], [[reptilia]] na [[Ndege (mnyama)|ndege]].
 
==Kazi ya uti wa mgongo==
Nguzo hii ya uti wa mgongo inashikainashikamanisha mifupa yote kwa pamoja kuanzia [[fuvu]] hadina [[mabavu]] hadi mifupa ya chini inayokutana katika [[fupanyonga]].
 
Pamoja na kuwa kitovukiini cha kiunzi cha mifupa, uti wa mgongo huwa na kazi ya pili muhimu: inatunza ndani yake [[neva]] za [[ugwemgongo]] zinazofikisha [[amri]] za [[ubongo]] mwilini mwote. Neva za ugwembongo ni nyeti sana; hivyo uharibifu kwenye uti wa mgongo unaoathiri neva hizihizo kiasi unaweza kusababisha [[maumivu]] makali au hata [[ulemavu]] kama neva zinakatika na sehemu za mwili hazipokei tena amri kutoka ubongo.
 
== Sehemu za uti wa mgongo ==
Uti wa mgongo unafanywa na [[pingili]] au vetebra 33-35, kutegemeana na [[umri]] wa mtu; tofauti hutokea kwenye sehemu ya [[kifandugu]]. Pingili 24 za juu zinatenganishwa kwana [[visahani vya vetebra]]. Huangaliwa na [[matibabu]] kwakuwa sehemu kuu tano:
 
* '''Uti wa shingoni''' ''(ing. cervical, lat. pars cervicalis)'' : inashika fuvu yala kichwa (nyekundu). Ina pingili 7. Mbili za juu zinaunganisha fuvu na uti wa mgongo.
 
* '''Uti wa kifuani''' ''(ing. thoracic, lat. pars thoracica)'': sehemu hii (buluu) inashika [[mabavu]] yote mahali pake. Ina pingili 12.
 
* '''Uti wa kiuno''' ''(ing. lumbar, lat. pars lumbalis)'': sehemu hii inaunganisha mwili wa juu na mwili wa chini. Inamwezesha mwandamumwanadamu kugeuza mwili bila kusogeza [[miguu]]. Ina pingili 5 (njano).
 
* '''Uti wa nyonga''' ''(ing. sacrum, lat. os sacrum)'' inashika [[nyonga]]. Ni pingili tano ambazo kwa kawaida zimeungana kama mfupa mmoja - (kibichi)
 
* '''Kifandugu''' ''(ing. coccyx)'' - inashika musuli[[misuli]] kadhaa (zambarau), ina pingili 3-5.
 
== Marejeo ==