Chipsi kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{umbo}}
No edit summary
Mstari 1:
'''Chipsi kuku''' ni [[mlo]] maarufu wa [[Hoteli|hotelini]]. [[Chakula]] cha [[chipsi]] [[kuku]] kimekuwa mashuhuri, ingawa vipo vingi kama mbatata za urojo, badia, [[kachori]] na chatne ([[Zanzibar]] mix au viazi vya karai).
{{umbo}}
 
Neno maakuli linatokana na chimbuko la [[Kiarabu]] likimaanisha mlo rasmi au maalum. [[Utamaduni]] wa [[Waswahili]] ambao hupatikana [[Afrika mashariki]] kwenye masuala ya maakuli, umemezwa na vibanda vya [[chipsi]] [[kuku]] katika [[mtaa|mitaa]] mingi ya Uswahilini.
== '''CHIPSI KUKU''' ==
 
Utamaduni wa waswahili ambao hupatikana Afrika mashariki kwenye masuala ya maakuli, umemezwa na vibanda vya chipsi [[kukuBiashara]] katika mitaa mingi ya uswahilini.Neno maakuli linatokana na chimbuko la neno la kiarabu ikimaanisha mlo rasmi au maalum. Chakula cha chipsi kuku kimekuwa mashuhuri, ingawa vipo vingi kama mbatata za urojo, badia, kachori na chatne([[Zanzibar]] mix au viazi vya karai). Biashara ya chipsi kuku imepanda chati, kwani inavutia wengi hasa kwenye michapuzo ya nguvu ambayo hukolezwa kwenye kilaji hicho cha chipsi kuku kama tomato sosi , chili sosi, rojo zito zitozitozito la [[embe]] mbichibichi au [[ukwaju]] na [[pilipili]] juu yake. Watafutaji [[ajira]] hamkani katika harakati za kuwaridhisha wateja wao, na wateja nao wake kwa waume humiminika kujipatia huduma hiyo, Alhamdulilah tumbo halilali na njaa.
 
Mandhari ya biashara hizi hutofautiana kutokana na vipato vya watafutaji ajira, kuna sehemu ambazo utastarehe na kiyoyozi juu yake, lakini sehemu nyenginenyingine kutokana na mazingira yake, fumba macho tu kama una njaa au waswahiliWaswahili wanasema ‘usimchungue kuku atakushinda kumla'. Lakini yote kenda , kumi mmeyaona [[mafuta]] yanayochomewa chipsi kuku ? Ikiwa kwenye karai au fraya. Haya mafuta yakipelekwa kwa mkemia mkuu sijui atatujibu nini. Faida ni kushiba lakini hasara hatuifahamu na ni lazima tujiulize.
Karibu kwenye safu maridhawa na leo nalenga moja kwa moja kwa chakula mashuhuri chipsi kuku.
 
Lakini [[mafuta]] yanayochomewa chipsi kuku mwenye [[karai]] au fraya, yakipelekwa kwa [[mkemia mkuu]] atasema nini? Faida ni kushiba lakini hasara hatuifahamu na ni lazima tujiulize.
Utamaduni wa waswahili ambao hupatikana Afrika mashariki kwenye masuala ya maakuli, umemezwa na vibanda vya chipsi [[kuku]] katika mitaa mingi ya uswahilini.Neno maakuli linatokana na chimbuko la neno la kiarabu ikimaanisha mlo rasmi au maalum. Chakula cha chipsi kuku kimekuwa mashuhuri, ingawa vipo vingi kama mbatata za urojo, badia, kachori na chatne([[Zanzibar]] mix au viazi vya karai). Biashara ya chipsi kuku imepanda chati, kwani inavutia wengi hasa kwenye michapuzo ya nguvu ambayo hukolezwa kwenye kilaji hicho cha chipsi kuku kama tomato sosi , chili sosi, rojo zito zito la embe mbichi au ukwaju na pilipili juu yake. Watafutaji ajira hamkani katika harakati za kuwaridhisha wateja wao, na wateja nao wake kwa waume humiminika kujipatia huduma hiyo, Alhamdulilah tumbo halilali na njaa.
 
Mandhari ya biashara hizi hutofautiana kutokana na vipato vya watafutaji ajira, kuna sehemu ambazo utastarehe na kiyoyozi juu yake, lakini sehemu nyengine kutokana na mazingira yake, fumba macho tu kama una njaa au waswahili wanasema ‘usimchungue kuku atakushinda kumla ‘. Lakini yote kenda , kumi mmeyaona [[mafuta]] yanayochomewa chipsi kuku ? Ikiwa kwenye karai au fraya. Haya mafuta yakipelekwa kwa mkemia mkuu sijui atatujibu nini. Faida ni kushiba lakini hasara hatuifahamu na ni lazima tujiulize.
 
Tujali afya zetu kinga ni bora kuliko tiba.
 
{{mbegu-utamaduni}}
[[Category:Chakula cha Kiafrika]]