Utume : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
wikify
No edit summary
Mstari 1:
'''Utume''' ni fukuto la Kiroho zaidi ndani ya Roho ya mtu yenye kuigusa nafsi, ni hali ya kusikia sauti ya rohoni na kuitika kutumika sawasawa na kusudio la Neno la [[Muumbaji]].
'''Utume''' ni hali ya kusikia sauti ya rohoni na kuitika kutumika sawasawa na kusudio la Neno la Mpakwa Mafuta wa Mungu ([[Yesu Kristo]]). Ni wito wa kumtaka mtu kutumikia ufalme wa Mungu Muumbaji kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Ni fukuto la Kiroho zaidi ndani ya Roho ya mtu yenye kuigusa nafsi kutenda matendo ya Yesu Kristo kama alivyofanya wakati wa uhai wake akiwa na wanafunzi wake (Mitume). Aliwachagua na kuwatuma wawili wawili ama 12 na mara nyingine 72. Waliitika sauti wakaenda huku na huko na waliporejea walitoa taarifa ya kazi. Mfano
 
:"..hata pepo wametutii kwa jina lako (Yesu)." [[Kiing.]]: For he whom God hath sent speaketh the words of God: for God giveth not the Spirit by measure unto him. [[Mtume Yohane]] 3:34
 
'''Utume'''Katika Ukristo ni hali ya kusikia sauti ya rohoni na kuitika kutumika sawasawa na kusudio la Neno la Mpakwa Mafuta wa Mungu ([[Yesu Kristo]]). Ni wito wa kumtaka mtu kutumikia [[ufalme wa Mungu]] Muumbaji kwa njia ya Bwana wetukama [[Yesu Kristo. Ni fukuto la Kiroho zaidi ndani ya Roho ya mtu yenye kuigusa nafsi kutenda matendo ya Yesu Kristo kama]] alivyofanya wakati wa [[uhai]] wake akiwa na wanafunzi wake ([[Mitume wa Yesu]]). Aliwachagua na kuwatuma wawili wawiliwawiliwawili ama 12 na mara nyingine 72. Waliitika sauti wakaenda huku na huko na waliporejea walitoa taarifa ya kazi: "...hata Mfanopepo wametutii kwa jina lako (Yesu)."
{{mbegu-dini}}
[[Jamii:Dini]]