Ligi ya Mabingwa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ligi la Mabingwa Ulaya''' ni mashindano ya mpira wa miguu yaliyoanzishwa na [[Ligi Kuu ya Mabingwa Ulaya]] na timu zinazoshiriki ni za [[Ligi kuu]] [[Ulaya]] ili kumpata bora [[Ulaya]] nzima.
Ilianzishwa [[1955]] kama [[Kombe la Ulaya]] awali [[mashindano]] haya yalikuwa na [[hatua]] ya mtoano tu,[[Mashindano]] haya yalipewa hili jina [[1992]],waliongeza [[hatua]] ya [[makundi]] na kuruhusu washiriki kutoka [[nchi]] kadhaa.Sasa baadhi ya [[nchi]] za [[Ulaya]] ni [[bingwa]] tu ndiye anayeshiriki lakini [[ligi]] kubwa [[washiriki]] wanaweza wakawa watano.[[Klabu]] ambayo itamaliza ya pili katika [[ligi]] la nchi yake zitachaguliwa kwenye [[Ligi Dogo La Mabingwa Ulaya]] (Kwanzia [[2021]],[[Ligi Kuu ya Mabingwa Ulaya]] itaanzisha mashindano ya tatu yaitwayo [[Ligi Dogo La Mabingwa Ulaya ya pili]],ambayo yatakuwa na timu ambazo hazijafuzu [[Ligi Dogo La Mabingwa Ulaya]]).
Mwaka huu Ligi la Mabingwa Ulaya litaanza mwezi [[Juni]],Timu [[thelathini na mbili]] zitagawanywa kwenye makundi [[nane]].Washindi [[nane]] wa kila kundi na wa pili wa kila kundi zitaendelea hatua ya mtoano na [[fainali]] itachezeka [[Mei]] mwishoni au [[Juni]] mwanzoni.Mshindi atakuwa amefuvu kwenye Ligi la Mabingwa Ulaya la mwaka ujao,[[Kombe la Ulaya]] na [[Kombe la Dunia la Klabu la FIFA]].