Injini ya ndege : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Injini ya ndege aina ya [[Rolls-Royce Merlin ikiwa imefungwa katika ndege ya Avro York iliyohifadhiwa katika makumbusho....'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:YorkMerlin.JPG|thumb|300px|Injini ya ndege aina ya [[Rolls-Royce Merlin]] ikiwa imefungwa katika ndege ya [[Avro York]] iliyohifadhiwa katika makumbusho. ]]
'''Injini ya ndege''' ni sehemu ya mfumo unaotumika kuisukuma ndege katika kuzalisha nishati ya kimitambo ambayo hutumika katika urukaji wake.Injini za ndege aghalabu huwa ni injini za pistoni nyepesi ama injini za gesi sisipokuwa kwa ndege zisizo na rubani amabzo huwa na injini za umeme.