Mageuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mageuzi''' ni mabadiliko ya kibaiolojia ya viumbe hai kutoka mifumo rahisi ya maisha kuelekea mifumo tata ya maisha katika viumbe hivyo.Mabadiliko haya huone...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mageuzi''' (kwa [[Kiingereza]]: "reform") ni mabadiliko ya taratibu hasa katika [[siasa]] ya nchi.
'''Mageuzi''' ni mabadiliko ya kibaiolojia ya viumbe hai kutoka mifumo rahisi ya maisha kuelekea mifumo tata ya maisha katika viumbe hivyo.Mabadiliko haya huonekana hasa pale ambapo [[Kiumbehai|viumbe]] vizalia huwa na sifa tofauti na zile za wazazi wao.Sifa hizi ni ishara za [[jeni]] ambazo hupitishwa kutoka kwa mzazi kwenda kwa watoto wakati wa uzazi. Tabia tofauti huwa zinapatikana ndani ya makundi ya viumbe kutokana na mabadiliko katika jeni za viumbe hao,mabadiliko ya maumbile na vyanzo vingine vya mabadiliko ya maumbile.Mageuzi hufanyika wakati michakato ya mageuzi kama vile uteuzi wa asili (pamoja na uteuzi wa kijinsia)na mbadiliko makubwa ya mkondo wa jeni huchangia katika mabadiliko haya,na kusababisha tabia zingine kuwa za kawaida au nadra katika kundi la viumbe hai.Ni mchakato huu wa mageuzi ambao umetoa mabadiliko ya bioanuwai katika kila kiwango cha asasi ya biolojia, pamoja na viwango vya spishi, kiumbe kimojakimoja na molekuli.
 
{{mbegu-siasa}}
[[Jamii:Siasa]]