Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tree of life.svg|thumb|right|250px|''Mti wa uhai'' huonyesha mabadiliko wa spishi tangu mwanzo wa uhai]]
'''Mageuko ya spishi''' (kwa [[ing.Kiingereza]]: ''evolution'') ni [[nadharia]] ya ki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na [[wataalamu]] wa [[biolojia]], hasa [[tawi]] la [[jenetikia]].
 
Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo [[duniaduniani]]ni leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani.
 
Nadharia hii inategemea [[hoja]] ya kwamba awali [[uhai]] wote ulitokana na ma[[umbo asilia]].
 
Katika [[wazo]] hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika kutoka mifumo rahisi ya maisha kuelekea mifumo kamili zaidi.
 
Mabadiliko hayo huonekana hasa pale ambapo [[Kiumbehai|viumbe]] vizalia huwa na sifa tofauti na zile za wazazi wao. Sifa hizi ni ishara za [[jeni]] ambazo hupitishwa kutoka kwa mzazi kwenda kwa watoto wakati wa uzazi. Tabia tofauti huwa zinapatikana ndani ya makundi ya viumbe kutokana na mabadiliko katika jeni za viumbe hao, mabadiliko ya maumbile na vyanzo vingine vya mabadiliko ya maumbile.
 
Mageuko hufanyika wakati michakato ya mageuko kama vile uteuzi wa asili (pamoja na uteuzi wa kijinsia) na mbadiliko makubwa ya mkondo wa jeni huchangia katika mabadiliko haya, na kusababisha tabia nyingine kuwa za kawaida au nadra katika kundi la viumbe hai. Ni mchakato huu wa mageuko ambao umetoa mabadiliko ya bioanuwai katika kila kiwango cha asasi ya biolojia, pamoja na viwango vya spishi, kiumbe mmojammoja na molekuli.
 
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanafanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na [[ulinganifu]] wa spishi za karibu na za mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko hayo.
Line 33 ⟶ 37:
* [http://ncse.com/ National Center for Science Education]Information on how evolution works
* [http://www.pbs.org/wgbh/evolution/ PBS], on evolution site
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Jenetikia]]