Umande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dew drop.jpg|thumb|Tone la umande juu ya [[jani]] la [[mchikichi]].]]
[[File:Dew Drops.JPG|thumb|Matone ya umande juu ya jani.]]
'''Umande''' (pia: '''unyevu''', '''ukungu'''; kwa [[Kiingereza]]: ''dew'') ni [[maji]] yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya [[Kitu|vitu]], hasa [[mimea]], wakati wa [[asubuhi]] kutokana na [[utoneshaji]] na [[baridi]].

Wakati joto ni la chini vya kutosha umande huchukua umbo la [[barafu]] liitwalo theluji. Kwa kuwa umande unategemeana na halijoto ya nyuso za vitu, mwishoni mwa msimu wa joto, umande hujitokeza kwa urahisi kwenye nyuso ambazo hazijatiwa joto na joto litokalo chini ardhini kama vile nyasi,majani,mataruma ya reli, paa za magari na madaraja.
[[File:Dense_dew_on_grass.jpg|thumb|Umande mzito kwenye nyasi.]]
{{mbegu-sayansi}}