Mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
Punje hizi zatokana na [[mmomonyoko]] wa mawe makubwa zaidi kama [[changarawe]] yaliyosukumwa na upepo au maji kwa mfano [[mto]]ni, [[bahari]]ni au kwenye mteremko wa mlima.
 
Jina la mchanga halitaji mata yake lakini mara nyingi inamaanisha punje za [[silika]] (Si0<sub>2</sub>) ambayo ni oksidi ya [[silikoni]] inayopatikana kwa wingi katika [[ganda la Dunia]].
 
Mchanga hupatikana kwa wingi hasa kando ya bahari, [[jangwa]]ni au mtoni.
 
Mchanga ukichanganywa na [[saruji]] na maji huwa [[zege]] inayotumiwa kwa [[ujenzi]].
 
Mchanga wa silika inaweza kuyeyushwa kuanzia jotoridi ya [[sentigredi]] 1713 na hivyo ni msingi wa kutengeneza [[kioo]].
 
<gallery>