António Guterres : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:2019-05-30 António Guterres Karlspreis 2019-5904.jpg|thumb|Antonio Guterres]]
'''Antonio Manuel de Oliveira Guterres''' (alizaliwa [[30 Aprili]] [[1949]]) ni [[mwanasiasa]] wa Kireno[[Ureno]] ambaye anatumikia kama [[Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa]] tangu [[mwaka]] [[2017]]. Hapo awali, alikuwa ni [[Kamishna]] wa [[Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi]] (UNHCR) kati ya 2005 na 2015.
 
Guterres alikuwa Waziri Mkuu wa Ureno kutoka 1995 hadi 2002 na alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kisoshalistu cha Ureano kutoka 1992 hadi 2002. Alihudumu kama Rais wa Umoja wa Vyama vya Kisoshalisti Duniani kutoka 1999 hadi 2005.
Mstari 11:
* [https://www.un.org/sg/en Official website of Antonio Guterres - UN Secretary-General]
* [http://www.antonioguterres.gov.pt/ Official website of António Guterres] in Gov.pt {{Pt icon}}
{{BD|1949|}}
 
[[Jamii:Watu wa Ureno]]
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]