Goregore : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Ngazi za chini
Mstari 13:
| jenasi = ''[[Phoeniculus]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Feliks Paweł Jarocki|Jarocki]], 1821
| subdivision = '''Spishi 6:'''
| spishi = Angalia katiba
* ''[[Phoeniculus bollei|P. bollei]]'' <small>([[Gustav Hartlaub|Hartlaub]], 1858)</small>
* ''[[Phoeniculus castaneiceps|P. castaneiceps]]'' <small>([[Richard Bowdler Sharpe|Sharpe]], 1871)</small>
* ''[[Phoeniculus damarensis|P. damarensis]]'' <small>([[William Robert Ogilvie-Grant|Ogilvie-Grant]], 1901</small>
* ''[[Phoeniculus granti|P. granti]]'' <small>([[Oscar Rudolph Neumann|Neumann]], 1903)</small>
* ''[[Phoeniculus purpureus|P. purpureus]]'' <small>([[John Frederick Miller|J.F. Miller]], 1784</small>
* ''[[Phoeniculus somaliensis|P. somaliensis]]'' <small>(Ogilvie-Grant, 1901)</small>
}}
'''Goregore''', '''gegemela''' au '''vinuka''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Phoeniculus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Phoeniculidae]]. Hawa ni ndege weusi wenye [[mkia]] mrefu na [[mdomo|domo]] refu jekundu au jeusi lililopindika. Mwangani kwa jua manyoya yao yana mng'ao kijani au zambarau wa [[metali]]. Kuna mabaka meupe kwa [[bawa|mabawa]] na mkia. Hupenda kuwa kwa makundi na hupiga kelele pamoja mara kwa mara wakitetea. Inaelekea kama sauti yao ni asili ya jina “gegemela”. Hula [[mdudu|wadudu]] ambao wanawatafuta katika nyufa za [[myi|miti]] kama [[kigong'ota|vigong'ota]]. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4 ndani ya tundu asiliala yakiasilia la mti au tundu yala [[zuwakulu]] au kigong'ota. Baina ya kundi la kama ndege kumi ipo jozi moja tu inayozaa. Ndege wengine wasaidia hawa wawili kutunza makinda.
 
== Spishi za Afrika ==
Line 22 ⟶ 28:
* ''Phoeniculus damarensis'', [[Goregore Zambarau]] ([[w:Violet Wood Hoopoe|Violet Wood Hoopoe]])
* ''Phoeniculus granti'', [[Goregore wa Grant]] ([[w:Grant's Wood Hoopoe|Grant's Wood Hoopoe]])
* ''Phoeniculus somaliensis'', [[Goregore Domo-jeusi]] ([[w:Black-billed Wood Hoopoe|Black-billed Wood Hoopoe]])
* ''Phoeniculus purpureus'', [[Goregore Kijani]] ([[w:Green Wood Hoopoe|Green Wood Hoopoe]])
* ''Phoeniculus somaliensis'', [[Goregore Domo-jeusi]] ([[w:Black-billed Wood Hoopoe|Black-billed Wood Hoopoe]])
 
== Picha ==