Goregore : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ngazi za chini
dNo edit summary
Mstari 23:
'''Goregore''', '''gegemela''' au '''vinuka''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Phoeniculus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Phoeniculidae]]. Hawa ni ndege weusi wenye [[mkia]] mrefu na [[mdomo|domo]] refu jekundu au jeusi lililopindika. Mwangani kwa jua manyoya yao yana mng'ao kijani au zambarau wa [[metali]]. Kuna mabaka meupe kwa [[bawa|mabawa]] na mkia. Hupenda kuwa kwa makundi na hupiga kelele pamoja mara kwa mara wakitetea. Inaelekea kama sauti yao ni asili ya jina “gegemela”. Hula [[mdudu|wadudu]] ambao wanawatafuta katika nyufa za [[myi|miti]] kama [[kigong'ota|vigong'ota]]. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4 ndani ya tundu la kiasilia la mti au tundu la [[zuwakulu]] au kigong'ota. Baina ya kundi la kama ndege kumi ipo jozi moja tu inayozaa. Ndege wengine wasaidia hawa wawili kutunza makinda.
 
== Spishi za Afrika ==
* ''Phoeniculus bollei'', [[Goregore Kichwa-cheupe]] ([[w:White-headed Wood Hoopoe|White-headed Wood Hoopoe]])
* ''Phoeniculus castaneiceps'', [[Goregore-misitu]] ([[w:Forest Wood Hoopoe|Forest Wood Hoopoe]])