Tofauti kati ya marekesbisho "Chansela (kiongozi)"

4 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
 
'''Chansella''' ([[Kijerumani]]: "Kanzler") ni cheo cha mkuu wa [[serikali]], lakini si mkuu wa dola, katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Hapa inafanana na cheo cha waziri mkuu.
 
Menginevyo neno hili limemaanisha vyeo mbalimbali vya nagzingazi tofauti. Asili ya neno ni [[Kilatini]] "cancellarius" la kumtaja mtu mwenye ofisi aliyewajibika kutoa vyeti rasmi. Wakati mwingine neno lilimtaja mwandishi tu. Lakini lilitumika pia kwa ajili ya cheo cha "Mwandishi Mkuu" kilichoweza kufanana na "Katibu Mkuu" kwa Kiswahili yaani msimamizi wa kazi ya utawala.
 
Katika nchi zenye lugha ya [[Kijerumani]] cheo kikawa cheo cha mkuu wa serikali. Uswisi linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.
 
Huko Uingereza chansella ("Chancellor") ni cheo cha waziri ya fedha.
Anonymous user