Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wahaya''' ni [[kabila]] la [[watu]] linalopatikana katika [[Mkoa wa Kagera]], Kaskazini Magharibi mwa [[Tanzania]], kandokando ya [[Ziwa Victoria]] hadi mpakani kwa [[Uganda]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kihaya]].
 
Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza na Waendangabo wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]]. Wengine wanawahesabu mle pia Wanyambo wa [[Karagwe]] na [[Kyerwa]].
 
Tofauti kati ya vijikabila zinatambulika kutokana na mabadiliko madogo madogo tu ya maneno na pia [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili.
Mstari 9:
Mfano: [[Kiazi kitamu|Viazi vitamu]] (Kiswahili) = ebitakuli (Kiziba) = enfuma (Kihamba, Kiyoza na Kinyaihangilo)
 
Wahaya ni maarufu kwa [[uzalishaji]] wa [[ndizi]] na [[kahawa]]. Ni kabila ambalo hupenda sifa, kujisifu na kusifiwa. Pia kabila hilo halitasahulikahalitasahaulika kwa jinsi walivyopata shida [[mwaka]] [[1978]] kutokana na [[vita vya Kagera]].
 
{{Makabila ya Tanzania}}