Richard Wilson : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 12:37, 11 Agosti 2019
Richard Wilson OBE (amezaliwa tarehe 9 Julai 1936) ni muigizaji wa Scotland aliyeigiza kwa jina la Gaius katika mfululizo wa fantasia ya BBC wa Merlin.
Maisha yake binafsi
Richard Wilson alizaliwa huko Greenock, Scotland. Alihudhuria shule ya msingi ya Lady Alice huko Greenock. Alisoma masomo ya sayansi katika Chuo cha Greenock.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |