Avengers: Endgame : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Hii ni picha ya filamu ya Avengers Endgame. '''Avengers: Endgame''' ni filamu iliyoachiliwa mnamo mwaka 2019 na [...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Avengers Endgame picha.jpg|thumb|Hii ni picha ya filamu ya Avengers Endgame.]]
'''Avengers: Endgame''' ni filamu iliyotolewa mnamo mwaka [[2019]] na [[kampuni]] ya kutengeneza [[filamu]] ya nchini [[Marekani]] iitwayo [[Marvel studios]], huku ikisambazwa na [[Walt Disney Studios Motion Pictures]].
'''Avengers: Endgame''' ni filamu iliyoachiliwa mnamo mwaka [[2019]] na [[kampuni]] ya kutengeneza [[filamu]] ya nchini [[Marekani]] iitwayo [[Marvel studios]], huku ikisambazwa na [[Walt Disney Studios Motion Pictures]]. Filamu hii imeundwa kulingana na visa vilivyoandikwa kwenye vitabu vya [[hadithi]] vya Marvel juu ya jumuiya ya mashujaa wa kifilamu waitwao [[Avengers]]. Filamu hii ni mwendelezo wa filamu za [[The Avengers]] ([[2012]]), [[Avengers: Age of Ultron]] ([[2015]]) na [[Avengers: infinity war (filamu)|Avengers: Infinity War]] ([[2018]]) na pia ni filamu ya [[Ishirini na mbili]] kati ya zilizoachiliwa na Marvel cinematic universe (MCU).Filamu hii imeandikwa na Christopher Markus pamoja na Stephen McFeely, filamu hii ina wahusika kama vile [[Robert Downey, Jr.|Robert Downey Jr.]], [[Chris Evans]], [[Mark Ruffalo]], [[Chris Hemsworth]], [[Scarlett Johansson]], [[Jeremy Renner]], [[Don Cheadle]], [[Paul Rudd]], [[Brie Larson]], [[Karen Gillan]], [[Danai Gurira]], [[Benedict Wong]], [[Jon Favreau]], [[Bradley Cooper]], [[Gwyneth Paltrow]], na [[Josh Brolin]]. Katika filamu wahusika ambao waliendelea kuishi wanajaribu kulipiza kisasi kwa [[Thanos]] ambaye aliwaua baadhi ya wahusika katika filamu ya [[Avengers: infinity war (filamu)|Avengers: Infinity War]].
 
Filamu hii imeundwa kulingana na visa vilivyoandikwa kwenye [[vitabu]] vya [[hadithi]] vya Marvel juu ya jumuiya ya mashujaa wa kifilamu waitwao [[Avengers]]. Filamu hii ni mwendelezo wa filamu za [[The Avengers]] ([[2012]]), [[Avengers: Age of Ultron]] ([[2015]]) na [[Avengers: infinity war (filamu)|Avengers: Infinity War]] ([[2018]]) na pia ni filamu ya [[ishirini na mbili]] kati ya zilizotoleiwa na Marvel cinematic universe (MCU).
 
'''Avengers: Endgame''' ni filamu iliyoachiliwa mnamo mwaka [[2019]] na [[kampuni]] ya kutengeneza [[filamu]] ya nchini [[Marekani]] iitwayo [[Marvel studios]], huku ikisambazwa na [[Walt Disney Studios Motion Pictures]]. Filamu hii imeundwa kulingana na visa vilivyoandikwa kwenye vitabu vya [[hadithi]] vya Marvel juu ya jumuiya ya mashujaa wa kifilamu waitwao [[Avengers]]. Filamu hii ni mwendelezo wa filamu za [[The Avengers]] ([[2012]]), [[Avengers: Age of Ultron]] ([[2015]]) na [[Avengers: infinity war (filamu)|Avengers: Infinity War]] ([[2018]]) na pia ni filamu ya [[Ishirini na mbili]] kati ya zilizoachiliwa na Marvel cinematic universe (MCU).Filamu hii imeandikwa na Christopher Markus pamoja na Stephen McFeely, filamu hii ina wahusika kama vile [[Robert Downey, Jr.|Robert Downey Jr.]], [[Chris Evans]], [[Mark Ruffalo]], [[Chris Hemsworth]], [[Scarlett Johansson]], [[Jeremy Renner]], [[Don Cheadle]], [[Paul Rudd]], [[Brie Larson]], [[Karen Gillan]], [[Danai Gurira]], [[Benedict Wong]], [[Jon Favreau]], [[Bradley Cooper]], [[Gwyneth Paltrow]], na [[Josh Brolin]]. Katika filamu wahusika ambao waliendelea kuishi wanajaribu kulipiza kisasi kwa [[Thanos]] ambaye aliwaua baadhi ya wahusika katika filamu ya [[Avengers: infinity war (filamu)|Avengers: Infinity War]].
 
{{mbegu-filamu}}