Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 30:
===(d) Kushindwa kufanya kazi kwa Wahindi Wekundu katika mashamba makubwa===
Awali, Wazungu waliwatumia wenyeji wa Amerika ([[Wahindi Wekundu]]) katika mashamba yao kama wafanyakazi. Lakini watu hawa walishindwa kufanya kazi kikamilifu jinsi Wazungu walivyotarajia. Hilo liliwafanya Wazungu waje Afrika kutafuta wafanyajikazi na hivyo basi biashara ikakua.
kwa sababu watumwa wanaotoka afrika walikuwa na nguvu kuzidi wahindi wekundu pia hii biashara ilikuwa ikjulikana kama biashaa ya pembe tatu
 
===(e) Ukuaji wa teknolojia ya meli===
Kukua kwa [[teknolojia]] ya meli (utengenezaji wa meli na mwongozo wa kidira) ulirahisisha [[usafirishaji]] baina ya Afrika, Amerika, na Ulaya. Kwa mfumo huu, ukuaji wa biashara ukawa hauepukiki tena.