Harmonize : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox musical artist|thumb|Jina=Harmonize|Img=File:Harmonize.jpg|Img_capt=|Background=solo_singer|Jina la kuzaliwa=Rajab Abdul Kahali|Pia anajulikana kama=Harmonize|Amezaliwa={{birth date and age|1994|4|15|df=yes}}|Asili yake=[[Mtwara]],[[Tanzania]]|Ala=[[Piano]], [[Mwimbaji|sauti]]|Aina=[[Bongo Flava]],''Afro Pop''|Kazi yake=[[Mwimbaji]]-[[mtunzi wa nyimbo|mtunzi]], [[mtayarishaji wa rekodi]]|Miaka ya kazi=2011–mpaka sasa|Studio=[[Wasafi Records]]|Ameshirikiana na=[[Rayvanny]], [[Diamond Platnumz]]|Tovuti=[http://www.djlytmas.blogspot.com/ Tovuti Halisi]}}
'''Harmonize''' (kwa [[jina]] lake halisi '''Rajab Abdul Kahali'''; mara kadhaa hujiita "Konde Boy"; amezaliwa [[15 Aprili]] [[1994]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] kutoka [[Tanzania]].
 
Harmonize ana asili ya [[mkoa wa Mtwara]]. Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "[[Aiyola]]" (2015), [[Bado]] (2016), [[Matatizo]] ([[2016]]) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni [[Diamond Platnumz]].
 
KwangaluKwa ngwaru ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya East Afrika mashariki na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burmaburna na dimond platnimz alikuwepo kwenye uohuo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana. Harmonize anasimamiwa na [[Joel V. Joseph|Joel Joseph]] au kwa jina lingine Mr Puaz
 
==Maisha ya Awali==
Harmonize alizaliwa huko Mtwara katika kijiji cha Chitoholi. Harmonize alisoma katika shule ya sekondari Mkundi iliyopo huko mjini Mtwara . Baada ya kumaliza elimu yake ya sekondari, Harmonize alielekea jijini Dar es salaam ambako huko alijipatia riziki yake ya kila siku.
harmonize mwanzoni alibeba maji ili kupata tonge la chakula kabla ya sauti yake kutambulika mitaani kisha baadae kuchukuliwa na lebo ya Diamond platnumz.
 
harmonizeHarmonize mwanzoni alibeba maji ili kupata tonge la [[chakula]], pia alikua akiuza [[kahawa]] kwa wafanya biashara wengine na wakazi wa Kariakoo huko jijini [[Dar es Salaam|Dar es salaam]] kabla ya sauti yake kutambulika mitaani kisha baadae kuchukuliwa na lebo ya Diamond platnumz ijulikanayo kama WCB (Wasafi classic baby).
==Diskografia==
 
Alianza kujihusisha na muziki mnamo [[mwaka]] [[2011]] ambapo alitoa nyimbo mbalimbali lakini hazikuweza kupata umaarufu mkubwa mpaka pale ambapo alikutana na Diamond Platinumz mnamo mwaka [[2015]] na kuanza kufanya mziki pamoja naye.
 
== Diskografia ==
{| class="wikitable"
!Nambari
Line 16 ⟶ 20:
|-
|1.
|"[[Aiyola"]]
|2015<ref>{{Cite web|url=https://itunes.apple.com/us/artist/harmonize/id81714549|title=Harmonize on Apple Music|website=iTunes|language=en-us|access-date=2017-09-07}}</ref>
|-
|2.
|"''Bado''" ft [[Diamond Platnumz]]
|2016
|-
|3.
|''"''Matatizo"
|[[2017]]
|-
|4.
|''"''Happy Birthday"
|2017
|-
|5.
|Shula
|''"''Sina"
|2017
|-
|6.
|''"''Sina"
|2017
|-
|7.
|Niambie
|2017
|-
|8.
|Dont go
|2017
|-
|9.
|Nishachoka
|2017
|-
|10.
|Nakupenda
|2017
|-
|11.
|Kwa ngwaru ft. Diamond platnumz
|[[2018]]
|-
|12.
|Dm chick
|2018
|-
|13.
|Atarudi
|2018
|-
|14.
|Paranawe ft. [[Rayvanny]]
|2018
|-
|15.
|Niteke
|[[2019]]
|-
|16.
|Show me what you gat ft. [[Yemi Alade]]
|2019
|-
|17.
|Kainama ft. Diamond Platnumz na Burna boy
|2019
|-
|18.
|Ndoenda
|2019
|-
|19.
|Never give up
|2019
|}