Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 29:
Baada ya kugunduliwa Amerika, Wazungu walianzisha mashamba makubwa ya ma[[zao]] aina mbalimbali kama vile pamba na tumbaku huko Magharibi mwa Indi. Hili lilihitaji wafanyakazi, hivyo basi lilipelekea kukua kwa biashara.
===(d) Kushindwa kufanya kazi kwa Wahindi Wekundu katika mashamba makubwa===
Awali, Wazungu waliwatumia wenyeji wa Amerika ([[Wahindi Wekundu]]) katika mashamba yao kama wafanyakazi. Lakini watu hawa walishindwawalikufa kufanyaharaka. kaziTatizo kikamilifukuu jinsililikuwa Wazunguhali walivyotarajiaya pekee ya Amerika ambako watu waliwahi kuendelea bila mawasiliano na sehemu nyingine za dunia kwa milenia nyingi. Walikosa kimga dhidi ya magonjwa mengi yaliyokuwa kawaida katika mabara yaliyokaa karibu kama Asia, Afrika na Ulaya hivyo walikufa haraka baada ya kukutana na wazungu wa Ulaya na magonjwa yao. Hilo liliwafanya Wazungu waje Afrika kutafuta wafanyajikazi. Hivyo biashara ikakua kwa sababu watumwa kutoka Afrika walikuwa na nguvu kuzidi Wahindi Wekundu.
 
===(e) Ukuaji wa teknolojia ya meli===
Kukua kwa [[teknolojia]] ya meli (utengenezaji wa meli na mwongozo wa kidira) ulirahisisha [[usafirishaji]] baina ya Afrika, Amerika, na Ulaya. Kwa mfumo huu, ukuaji wa biashara ukawa hauepukiki tena.