Klaus Barbie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
==Wasifu==
===Maisha ya awali===
Klaus Barbie alizaliwa mjini [[Bad Godesberg]], karibu na mji wa [[Bonn]], [[Ujerumani]]. Barbie alizaliwa katika familia ya waumini wa dhebu la Wakatoliki. Wazazi wake wote walikuwwa walimu. Kunako mwaka wa [[1923]] alipelekwa shule ambayo babake ndiko alikokuwa akifundishia. Baada ya hapo, akapelekwa shule ya bweni ya mjini Trier.
 
Mnamo mwaka [[1925]], familia yake ilihamia mjini Trier ambako huko ndiko alikokuwa anasoma. Mnamo mwaka wa [[1933]], babake na kakake kipenzi Barbie waliiaga dunia. Kifo cha babaebabake kilipeleka bwana mdogo Barbie kuwa mlevi kupindukia na ndipo alipo amua kujiunga na jeshi la vijana la [[Adolf Hitler]], waliitawaliliita Hitler Youth.
 
Mnamo [[Septemba]] [[1935]], alijunga na SD au Sicherheitsdienst (kikosi cha ulinzi), ni tawi maalum la [[Schutzstaffel|SS]]. Baadae kidogo alihamishwa kwenda kutumikia nchini [[Uholanzi]]. Mnamo mwaka [[1942]], alihamishiwa mjini [[Dijon]] na kunako mwezi Novemba ya mwaka huo huo wa 1942 akahamishiwa mjini Lyon, [[Ufaransa]], ambapo huko ndiko alikokuja kuwa kiongozi wa Gestapo ndogo.
 
==Makosa ya kivita==
==Kesi yake ya mauwaji==