Chansela (kiongozi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Menginevyo neno hili limemaanisha vyeo mbalimbali vya ngazi tofauti. Asili ya neno ni [[Kilatini]] "cancellarius" la kumtaja mtu mwenye ofisi aliyewajibika kutoa vyeti rasmi. Wakati mwingine neno lilimtaja mwandishi tu. Lakini lilitumika pia kwa ajili ya cheo cha "Mwandishi Mkuu" kilichoweza kufanana na "Katibu Mkuu" kwa Kiswahili yaani msimamizi wa kazi ya utawala.
 
Katika nchi zenyeza lugha[[Ujerumani]] yana [[KijerumaniAustria]] cheo kikawani cheo cha mkuu wa serikali. [[Uswisi]] linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.
 
Huko [[Uingereza]] chansella ni cheo cha waziri ya fedha ("Chancellor of the Exchequer") nipia cheo cha waziriafisa mkuu wa bunge ("Lord Chancellor") ambaye ni mwenyekiti wa nyumba ya fedhajuu bungeni.
 
Cheo cha chansella kinapatikana kimataifa pia katikakwenye vyuo vikuu vya nchi mbalimbali likimtaja ama mkuu wa chuo au mkuu wa utawala wa chuo. Katika nchi kadhaa za Afrika rais wa taifa amejipatia au kupatiwa cheo cha chansella wa chuo kikuu. Katika nchi hizi -jinsi ilivyokuwa nchini Kenya hadi mwaka 2003- mkuu halisi wa chuo alikuwa na cheo cha makamu wa chansella.