Yemi Alade : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox Musical artist|thumb|Aina=Afro pop|Img=Yemi Alade 2014.png|Amezaliwa=Machi 13,1989|Asili yake=Abia, Nigeria|Jina la kuzaliwa=Yemi Eberechi Alade|Miaka...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:13, 12 Agosti 2019


Yemi Eberechi Alade (kuzaliwa 19 machi,1989) kwa kifupi hujulikana kama Yemi Alade ni mwanamziki kutoka nchini Nigeria akifanya mziki wa Afropop na pia ni mwandishi wa nyimbo mbalimbali. Mwanamziki huyu amekuwa akifahamika kutokana na kibao chake kijulikanacho kama Johnny.

Yemi Alade

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Yemi Eberechi Alade
Amezaliwa Machi 13,1989
Asili yake Abia, Nigeria
Aina ya muziki Afro pop
Miaka ya kazi 2005-hadi sasa

Maisha ya awali

Yemi alade alizaliwa Abia, huko nchini Nigeria akiwa ni mtoto wa James Alade na Helen Uzoma. Baba yake alikua kamanda wa Jeshi la polisi mwenye asili ya kiyoruba na mama yake alikua pia kamanda wa jeshi la polisi mwenye asili ya Igbo. Yemi Alade ni mtoto wa tano katika familia yenye watoto saba. Elimu yake ya msingi alisoma katika shule iitwayo St. Savior British Primary School na baadae kusoma elimu yake ya sekondari katika shule iliyoitwa Victory Grammar School huko jijini Lagos na baadae alisomea Jiografia katika Chuo kikuu cha Lagos.

Diskografia

Albamu

Kichwa Yaliyomo
King of Queens
Mama Africa
  • Ilitolewa: Machi 25, 2016
  • Lebo: Effyzzie Music Group
  • Aina: Digital download, CD
Black magic
  • Ilitolewa: Disemba 15, 2017
  • Lebo: Effyzzie Music Group
  • Aina: Digital download, CD


  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yemi Alade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.