Ulanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Made correction to mispelt words and capitalized proper noun Wapangwa
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
{{umbo}}
'''Ulanzi''' ni pombe ambayo hugemwa kwenye vitindimiwa, au kwa jina lingine kwenye mianzi midogo midogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chahache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au juisi, lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali. Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa Wapangwa, maana ni jadi kwa Wapangwa kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa Wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka Mfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.(By Lewis linus willah, E-mail address, willahlewis@yahoo.com).
 
Pia, hata katika harusi, sherehe za kimila kama vile kujengea makaburi(MAHOKA), Mila za kumrudisha mjane nyumbani (NGOTORA), mila za kuabudu miungu, n.k, Ulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.