Ulanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Ulanzi''' ni [[pombe]] ambayo hugemwa kwenye mianzi midogomidogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au [[juisi]], lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali.
{{umbo}}
'''Ulanzi''' ni pombe ambayo hugemwa kwenye miwa, midogo midogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chahache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au juisi, lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali. Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa Wapangwa, maana ni jadi kwa Wapangwa kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa Wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka Mfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.(By Lewis linus willah, E-mail address, willahlewis@yahoo.com).
 
==Kwa Wapangwa==
Pia, hata katika harusi, sherehe za kimila kama vile kujengea makaburi(MAHOKA), Mila za kumrudisha mjane nyumbani (NGOTORA), mila za kuabudu miungu, n.k, Ulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.
'''Ulanzi''' ni pombe ambayo hugemwa kwenye miwa, midogo midogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chahache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au juisi, lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali. Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa [[Wapangwa]], maana ni jadi kwa Wapangwakwao kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa Wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka Mfanyakazimfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.(By Lewis linus willah, E-mail address, willahlewis@yahoo.com).
 
Pia, hataHata katika harusi, na sherehe nyingine za kimila kama vile kujengea [[Kaburi|makaburi]] (MAHOKAMahoka), Milamila za kumrudisha mjane nyumbani (NGOTORANgotora), mila za kuabudu [[miungu]], n.k., Ulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.
Kwa hiyo,Wapangwa wote kama vile KINA WILLAH, HAULE, MULIGO, MTWEVE, NGAIRO, MWINUKA,n.k, ambao bado wanatii mila na desturi zao, Ulanzi kwao ni jadi.
 
Kwa hiyo, Wapangwa wote (kama vile KINAkina WILLAHWillah, HAULEHaule, MULIGOMuligo, MTWEVEMtweve, NGAIRONgairo, MWINUKA,Mwinuka n.k.), ambao bado wanatii mila na desturi zao, Ulanziulanzi kwao ni jadi.
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Vinywaji]]