Ulanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kusafisha makala, si kinywaji cha Wapangwa tu
Mstari 1:
'''Ulanzi''' ni [[pombe]] ambayo hugemwa kwenye mianzi midogomidogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au [[juisi]], lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali.
 
'''Ulanzi''' ni pombe inayotengenezwa kwa kutumia utomvu wa mianzi midogo ya aina Oxytenanthera abyssinica ambayo haijakomaa.
==Kwa Wapangwa==
 
Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa [[Wapangwa]], maana ni jadi kwao kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa Wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka mfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.
Mianzi inayoanza kukua hukatwa vilele wakati wa majira ya mvua. Utomvu hukusanywa katika chombo. Kiowevu hiki kinaanza kuchachuka mara moja.
 
'''Ulanzi''' ni [[pombe]] ambayo hugemwa kwenye mianzi midogomidogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au [[juisi]], lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali.
 
Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa [[Wakinga]] na [[Wapangwa]], maana ni jadi kwao kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa Wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka mfanyakaziMfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.
 
HataPia, hata katika harusi na, sherehe nyingine za kimila kama vile kujengea [[Kaburi|makaburi]] (Mahoka"mahoka"), mila za kumrudisha mjane nyumbani (Ngotora"ngotora"), mila za kuabudu [[miungu]], n.k., Ulanziulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.
 
Hata katika harusi na sherehe nyingine za kimila kama vile kujengea [[Kaburi|makaburi]] (Mahoka), mila za kumrudisha mjane nyumbani (Ngotora), mila za kuabudu [[miungu]], n.k., Ulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.
 
Kwa hiyo, Wapangwa wote (kama vile kina Willah, Haule, Muligo, Mtweve, Ngairo, Mwinuka n.k.), ambao bado wanatii mila na desturi zao, ulanzi kwao ni jadi.
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Vinywaji]]