Ulanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d "aina ya" sio "ya aina"
Mstari 1:
'''Ulanzi''' ni pombe inayotengenezwa kwa kutumia utomvu wa mianzi midogo ya aina ya Oxytenanthera abyssinica ambayo haijakomaa.
 
Mianzi inayoanza kukua hukatwa vilele wakati wa majira ya mvua. Utomvu hukusanywa katika chombo. Kiowevu hiki kinaanza kuchachuka mara moja.
Mstari 8:
 
==Ulanzi katika utamaduni==
Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa [[Wakinga]] na [[Wapangwa]], maana ni jadi kwao kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka Mfanyakazimfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.
 
Pia, hata katika harusi, sherehe za kimila kama vile kujengea makaburi("mahoka"), mila za kumrudisha mjane nyumbani ("ngotora"), mila za kuabudu miungu, n.k, ulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.