Wapangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
fomati
No edit summary
Mstari 1:
'''Wapangwa''' ni [[kabila]] la [[watu]] kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na [[pwani]] ya [[mashariki]] ya [[Ziwa Nyasa]], [[wilaya ya Ludewa]], [[Mkoa wa Njombe]], [[kusini]] yamwa nchi ya [[Tanzania]]. [[Mwaka]] [[2002]] [[idadi]] ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 150,000.
 
[[Lugha]] yao ni [[Kipangwa]].
Chakula chao ni [[ugali]] wa [[mahindi]], [[ulezi]] na [[mtama]] kidogo. Kitoweo cha vyakula hivyo ni [[maharage]], samaki, [[nyama]] na jamii ya mboga mboga. Kinywaji chao ni pombe (ukhimbi) yaani kangala, komoni, [[ulanzi]] ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi. Pia Wapangwa ni hodari sana kwa utegaji na uwindaji wa wanyama pori kama vile ( kwa lugha yao)
Nyhaluchi,mahtu ngwehe, sudi,ng'ese,ng'wali ni videke.
 
==Historia==
Hulima mazao mbalimbali ya chakula katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya mito.Hulima kwa ushirika unaoitwa njhiika.Pia ni wafugaji wa makundi madogomadogo ya [[ng'ombe]], [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[nguruwe]] (kitimoto). Pia hulima mazao ya biashara kama [[kahawa]], [[chai]], [[pareto]], [[mahindi]]. Kabila hili pia hupata matunda ya asili kama vile; masada, savula, makuhu, mahofita,mafudo, minhingi, vudong'o na nisongwa.
Wapangwa wamekusanyika pamoja hasa katika maeneo ya [[Ludewa]] (Madunda, Mawengi, Mlangali, Masimbwe, Mkiu, Ulayasi, Lupanga, Madilu, n.k) kuelekea [[Njombe]]. Chanzo cha wao kuwa karibukaribu kiukoo, ni Vita[[vita]], maana wao walitokea katika maeneo mbalimbali, kama vile Malawi na Msumbiji, kwa ajili ya [vita].
Usafiri wao wa asili ni kwa chombo kiitwacho ngwichili ambacho kinatengenezwa kwa kutumia miti asilia.
 
==Uchumi==
Nyumba zao za asili kwa sasa ni za matofali ya udongo ya kuchoma na kuezekwa kwa bati, hata hivyo nyumba zao za asili zinajengwa kwa kutumia miti asili kugandikwa kwa udongo wa mfinyanzi na kuezekwa kwa nyasi aina ya hunji na lihanu.
HulimaWapangwa hulima [[mazao]] mbalimbali ya [[chakula]] katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya [[mito]]. Hulima kwa [[ushirika]] unaoitwa njhiika.Pia ni wafugajiPia wahulima makundi madogomadogomazao ya [[ng'ombebiashara]], [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[nguruwe]] (kitimoto). Pia hulima mazao ya biashara kama [[kahawa]], [[chai]], [[pareto]], [[mahindi]]. Kabila hili pia hupata [[matunda]] ya asili kama vile;: masada, savula, makuhu, mahofita, mafudo, minhingi, vudong'o na nisongwa.
 
Pia ni [[wafugaji]] wa makundi madogomadogo ya [[ng'ombe]], [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[nguruwe]] ([[kitimoto]]). Tena Wapangwa ni hodari sana kwa utegaji na [[uwindaji]] wa [[wanyamapori]] kama vile (kwa lugha yao) nyhaluchi ,mahtu ngwehe, sudi, ng'ese, ng'wali ni videke.
Mavazi yao ya asili ni nguo zilitengenezwa kwa ngozi za wanyama pamoja na magome ya miti ya misambi ambayo hupondwapondwa,hufumwa na kupakwa mono.
 
==Utamaduni==
Chakula chao ni [[ugali]] wa [[mahindi]], [[ulezi]] na [[mtama]] kidogo. [[Kitoweo]] cha vyakula hivyo ni [[maharage]], [[samaki]], [[nyama]] na jamii ya [[Mboga|mbogamboga]].
 
Kinywaji chao ni [[pombe]] (ukhimbi) yaani kangala, komoni, [[ulanzi]] ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao [[mlanzi]]. Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa Wapangwa, maana ni jadi kwao kunywa ulanzi, na hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa Wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, maana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka mfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, mpaka apewe ulanzi.
 
Hata katika harusi na sherehe nyingine za kimila kama vile kujengea [[Kaburi|makaburi]] (Mahoka), mila za kumrudisha mjane nyumbani (Ngotora), mila za kuabudu [[miungu]], n.k., ulanzi ndio huwa unatumika zaidi ya pombe nyingine.
 
Kwa hiyo, Wapangwa wote (kama vile kina Willah, Haule, Muligo, Mtweve, Ngairo, Mwinuka n.k.), ambao bado wanatii mila na desturi zao, ulanzi kwao ni jadi.
Usafiri wao wa asili ni kwa chombo kiitwacho ngwichili ambacho kinatengenezwa kwa kutumia miti asilia.
 
[[Mavazi]] yao ya asili ni [[nguo]] zilitengenezwazilizotengenezwa kwa [[ngozi]] za [[wanyama]] pamoja na magome ya [[miti]] ya misambi ambayo hupondwapondwa, hufumwa na kupakwa mono.
Lugha yao ni [[Kipangwa]].
 
[[Nyumba]] zao za asili kwa sasa ni za [[matofali]] ya [[udongo]] ya kuchoma na kuezekwa kwa [[bati]], hata hivyo nyumba zao za asili zinajengwa kwa kutumia miti asili kugandikwa kwa [[udongo wa mfinyanzi]] na kuezekwa kwa [[nyasi]] aina ya hunji na lihanu.
Wapangwa wamekusanyika pamoja hasa katika maeneo ya [[Ludewa]] (Madunda, Mawengi, Mlangali, Masimbwe, Mkiu, Ulayasi, Lupanga, Madilu, n.k) kuelekea Njombe. Chanzo cha wao kuwa karibukaribu kiukoo, ni Vita, maana wao walitokea katika maeneo mbalimbali, kama vile Malawi na Msumbiji, kwa ajili ya [vita].
 
== Viungo vya Nje ==