Uzima wa milele : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 41.59.81.68 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 14:
 
Kwa ahadi hiyo, sisi wanyonge tunaweza kushiriki uzima wa milele wa Mungu: hapa [[duniani]] katika [[mwanga]] hafifu wa [[imani]], na kisha [[Mauti|kufa]] katika [[uangavu]] wa [[utukufu]] usiofifia kamwe. Kwa kuwa lengo la [[Mungu Baba|Baba]] ni kwamba tuungane na Yesu [[Mungu Mwana|Mwanae]] kwa [[uwezo]] wa [[Roho Mtakatifu]] ili tuwe na utukufu wake. “Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma” (Yoh 17:3). “Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe. Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa” ([[2Pet]] 1:3-4). Sisi tuliobatizwa tunaitwa “wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo!” ([[1Yoh]] 3:1). Kwa sababu tumesadiki kwamba “Mungu ni upendo” (1Yoh 4:8) na kwamba “hakuna lisilowezekana kwa Bwana” ([[Lk]] 1:37). “Na kwa kuwa ninyi mmekuwa wana, Mungu alimtuma Roho wa Mwanawe mioyoni mwetu, aliaye, ‘Aba!’ yaani, ‘Baba!’ Kama ni hivyo, wewe si mtumwa tena bali u mwana; na kama u mwana, basi, u mrithi kwa Mungu” ([[Gal]] 4:6-7).
I'm
 
==Tanbihi==