Utenzi wa Gilgamesh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mapokeo ya utenzi wa Gilgamesh: vigae vya mwandiko wa kikabari
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:GilgameshTablet.jpg|thumb|220px|Kibao cha [[udongo]] chenye Utenzi wa Gilgamesh kwa [[mwandiko wa kikabari]].]]
'''Utenzi wa Gilgamesh''' ni [[shairi]] refu kutoka [[Mesopotamia]] ya Kale, ukiwa kati ya [[kazi]] za kwanza zinazojulikana za [[fasihi andishi]] [[duniani]]. Unasimulia [[habari]] za [[mfalme]] na [[nusu]]-[[mungu]] [[Gilgamesh]] na [[safari]] zake pamoja na [[rafiki]] yake Enkidu.

[[Utenzi]] huu unaaminiwa ulitungwa kati ya miaka [[2400 KK]] na [[1900 KK]].

Unajulikana hasa kutokana na [[hadithi]] ya [[gharika kuu]] iliyofunika [[dunia]] yote ambayo hufanana na habari za [[Nuhu]] katika [[Biblia]].
 
== Mapokeo ya utenzi wa Gilgamesh ==
Line 44 ⟶ 48:
 
== Historia ==
[[Jina]] la [[Gilgamesh]] linapatikana katika orodha ya wafalme wa [[Uruk]]: anaaminiwa alitawala katika kipindi cha kati ya [[2700 KK]] hadina [[2500 KK]].
 
== Marejeo ==