Uzima wa milele : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Protected "Uzima wa milele" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)) |
No edit summary |
||
Mstari 4:
[[Biolojia]] inaonyesha kuwa [[uhai]] wa [[mwili]] una mipaka, wala [[sayansi]] na [[teknolojia]] hazijaweza kuivuka.
Hata hivyo, toka zamani [[binadamu]] ameonyesha kwa njia nyingi [[hamu]] ya kuendelea kuishi kwa namna moja au nyingine.
[[
==Katika dini==
Katika [[dini]] mbalimbali, [[uzima]] wa
Uzima wa milele ndio [[ahadi]] kuu ya [[Yesu]] kwa wafuasi wake, hasa kadiri ya [[Injili ya Yohane]]. Sura ya 17 ya [[Injili]] hiyo inafafanua uzima wa milele kuwa [[uhusiano]] na [[Mungu]] na [[Yesu Kristo]] mwenyewe.
|