Biografia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Biografia''' (kutoka [[
[[Asili]] ya neno ni [[Kigiriki]], hasa lilitaja ''bios'' (= maisha) na ''graphein'' (= andika).
Biografia ni sehemu ya [[fasihi]]. Kupitia maandishi mbalimbali, biografia inaweza pia kutengenezewa filamu na kadhalika.▼
Biografia kwa [[Kiswahili]] kilichozoeleka ni "'''Wasifu'''", japo kumekuwa na tabia ya kukopa maneno.
Wasifu ukiandikwa na [[mhusika]] unaitwa "[[tawasifu]]" ambayo kwa Kiingereza inaitwa '''autobiography'''.
▲Biografia ni sehemu ya [[fasihi]]. Kupitia [[maandishi]] mbalimbali, biografia inaweza pia kutengenezewa [[filamu]] na kadhalika.
{{mbegu-lugha}}
[[Category:Fasihi]]
|