Chanjo ya ukambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 35:
<!--Chemical data-->
}}
 
<!-- Ufasili na ubora -->
'''Chanjo ya ukambi''' ni [[chanjo]] bora sana katikaambayo kukingahujenga kinga madhubuti dhidi ya [[ukambiUkambi|surua]].<ref name=WHO2009Vac/> Baada ya kupata dozi moja, asilimia 85 ya watoto wa umri wa miezi tisa na asilimia 95 ya walio zaidi ya miezi kumi na miwili hupata kingamwili.<ref name=Yellow2014/> Takriban watoto wote wasiopata kingamwili baada ya dozi moja hupata kingamwili hii baada ya dozi ya pili.<!-- <ref name=WHO2009Vac/> --> Kiasi cha uchanjaji katika idadi jumla ya watu ikiwa zaidi ya asilimia 93, milipuko ya ukambi kwa kawaida haitokei tena; hata hivyo inaweza kutokea tena ikiwa kiasi cha uchanjaji kitapunguka.<!-- <ref name=WHO2009Vac/> --> Ubora wa chanjo hii huwepo kwa miaka mingi.<!-- <ref name=WHO2009Vac/> --> Haijulikani ikiwa ubora huu hupunguka baada ya miaka kadhaa.<!-- <ref name=WHO2009Vac/> --> Chanjo hii pia inaweza kukinga dhidi ya ugonjwa huu ikiwa katika siku chache umetangamana na ugonjwa huu.<ref name=WHO2009Vac>{{cite journal|title=Measles vaccines: WHO position paper.|journal=Weekly epidemiological record|date=28 August 2009|volume=84|issue=35|pages=349–60|pmid=19714924|url=http://www.who.int/wer/2009/wer8435.pdf}}</ref>
 
<!-- Usalama -->
Line 47 ⟶ 48:
Takriban asilimia 85 ya watoto ulimwenguni kote wamepata chanjo hii kuanzia mwaka wa 2013.<ref name=WHO2014>{{cite web|title=Measles Fact sheet N°286|url=http://www.who.int/mediacentre/factsheets/fs286/en/|website=who.int|accessdate=4 February 2015|date=November 2014}}</ref> Katika mwaka wa 2008, angalau nchi 192 zilitoa dozi mbili za chanjo hii.<ref name=WHO2009Vac/> Chanjo hii ilianzishwa kwa mara ya kwanza katika mwaka wa 1963.<ref name=Yellow2014>{{cite book|last1=Control|first1=Centers for Disease|last2=Prevention|title=CDC health information for international travel 2014 the yellow book|date=2014|isbn=9780199948505|page=250|url=https://books.google.ca/books?id=nVppAgAAQBAJ&pg=PA250}}</ref> Mkusanyiko wa chanjo ya ukambi-matubwitubwi-na rubela ilipatikana kwa mara ya kwanza katika mwaka wa 1971.<ref>{{cite web|title=Vaccine Timeline|url=http://www.immunize.org/timeline/|accessdate=10 February 2015}}</ref> [[Chanjo ya tetekuwanga]] iliongezwa kwa mkusanyiko huu katika mwaka wa 2005 hivyo kutengeneza [[chanjo ya Ukambi, Matubwitubwi, Rubella na Tetekuwanga]].<ref>{{cite book|last1=Mitchell|first1=Deborah|title=The essential guide to children's vaccines|date=2013|publisher=St. Martin's Press|location=New York|isbn=9781466827509|page=127|url=https://books.google.ca/books?id=w0C7L9o3m-MC&pg=PA127}}</ref> Chanjo hii ipo katika [[Orodha ya Shirika la Afya Ulimwenguni ya Dawa Muhimu]], dawa muhimu zaidi inayohitajika katika [[mfumo wa afya]]wa kimsingi.<ref>{{cite web|title=WHO Model List of EssentialMedicines|url=http://apps.who.int/iris/bitstream/10665/93142/1/EML_18_eng.pdf?ua=1|work=World Health Organization|accessdate=22 April 2014|date=October 2013}}</ref> Chanjo hii haina gharama ya juu sana.<ref name=WHO2009Vac/>
 
==MarejeleoMarejeo==
<references />
{{mbegu-tiba}}
[[jamii:Magonjwa]]
[[Jamii:Maradhi ya kuambukiza]]
[[Jamii:Afya]]