Shinto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d 300px
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Itsukushima_Gate.jpg|thumb|300px|Geti yala [[torii]] kwenye hekalu yala Kishinto]]
'''Shinto''' au '''Ushinto''' ni [[dini ya kizalendojadi]] nchini [[Japani]]. Hadi [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ilikuwa [[dini rasmi]] ya [[serikali]] na ya [[Kaisari]] wa JapanJapani.
 
[[Imani]] ya Shinto ni katika [[miungu]] au mapepo[[pepo]] wengi wanaoitwa "[[kami]]". Wengine wao ni kama [[miungu]], wengine ni [[roho]] za [[miti]], [[mito]] au [[milima tena]], wengine tena ni roho za wazimu[[mizimu]]. Kati ya kami muhimu zaidi nikuna amaterasu ([[jua]]), [[dunia]], [[mbingu]].
 
Kuna [[Kuhani|makuhani]] wanaotunza [[hekalu]] ambako [[sadaka]] hutolewa kwa kami hizi. Wajapani wengi hushiriki katika [[ibada]] za kami, wakikumbuka marehemu[[mababu]] na mababu[[marehemu]] wengine, hata wakifuata [[dini]] nyingine kama [[Ubuddha]] au [[Ukristo]].
 
== Viungo vya Nje ==
{{commonscat|Shinto}}
* [http://eos.kokugakuin.ac.jp/modules/xwords/ Kokugakuin University Encylopedia of Shinto]
 
{{commonscat|Shinto}}
{{mbegu-dini}}
 
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Dini]]