Atlas (milima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Atlas-Mountains-Labeled-2.jpg|thumb|right|380px|Safu za milima ya Atlas.]]
'''Milima ya Atlas''' (kwa [[Kiberber]]: '''Idurar n Watlas''', kwa {{lang-ar|جبال الأطلس}}) ni safu ya [[milima kunjamano]] katika [[Afrika]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]]. Ina [[urefu]] wa takriban [[kilomita]] 2,400 kuanzia [[Moroko]] kwa kuvukia [[Algeria]] hadi [[Tunisia]]. Milima ya Atlas hutenganisha [[pwani]] ya [[Atlantiki]] na [[Mediteranea]] kutoka [[jangwa]] la [[Sahara]].
 
Mstari 12:
 
Kutokana na [[historia]] hii kuna hatari ya [[mtetemeko wa ardhi]] katika eneo la Atlas na miji kadhaa iliwahi kuharibiwa.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima]]
* [[Orodha ya milima ya Afrika]]
 
==Marejeo==