Ufalme wa Muungano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 53:
'''Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini''' (kwa [[Kiingereza]]: ''United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland''); [[kifupi]]: "'''Ufalme wa Muungano'''" ([[Kiing.]]: ''United Kingdom'') ni [[nchi ya visiwani]] ya [[Ulaya]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]].
 
Mara nyingi huitwa kwa [[Kiswahili]] "'''Uingereza'''" tu ingawa [[nchi ya Uingereza]] ni [[moja]] tu kati ya sehemu za ufalme huo pamoja na [[Uskoti]], [[Welisi]] na [[Eire ya Kaskazini]].
 
Waroma walivamia mnamo mwaka 54 BK wakatawala sehemu zote za kisiwa kikubwa isipokuwa Uskoti kwa miaka 400. Walipoondoa wanajeshi wao walowezi wapya [[Wagermanik]] kutoka Ujerumani wa Kaskazini na [[Denmark]] walihamia kisiwani, wanaojulikana kama [[Wasaksoni]] na [[Waangli]]. Utamaduni wa Wakelti uliendelea katika Welisi na Uskoti.
 
Hapo iko chazo cha ufalme wa Uingereza uliounganisha sehemu zilizokaliwa na walowezi Wagermanik na ufalme wa Uskoti.
 
Mwaka 1066 [[Wanormani]] kutoka Ufaransa walivamia Uingereza wakafaulu kuchukua utawala wa wa kusini ya Uingereza. Uvamizi wao ulibadilisha utamaduni na pia lugha ya nchi. Walifaulu kuvamia na kuunganisha Welisi na Uingereza lakini walishindwa kuteka Uskoti. Katika karne za utawala wao lugha ya kiingereza ilizaliwa ambayo kimsingi bado ni lugha ya Kigermanik ya Wasaksoni pamoja na athira kubwa ya msamiati wa Kilatini-Kifaransa uliotokana na mabwana Wanormani walioshika utawala.
 
Kutokana na asili yao katika [[Ufaransa|Ufaransa ya kaskazini]] wafalme wa Uingereza walijaribu pia kutetea madai yao ya utawala juu ya sehemu za Ufaransa. Baada ya Vita ya Miaka 100 walipaswa kuachana na madai haya.
 
Katika karne ya 16 mfalme Henry VIII aliamua kutangenisha kanisa katoloki la nchi yake kutoka mamlaka ya Papa hivyo akweka misingi kwa kutokea kwa [[kanisa Anglikana]].
 
Katika [[karne]] zilizopita nchi iliongoza [[mapinduzi ya viwanda]] [[duniani]], ilienea katika ma[[bara]] yote kwa ma[[koloni]] yake mengi ikabaki hadi leo kati ya nchi muhimu zaidi ulimwenguni.
Line 60 ⟶ 70:
 
==Historia==
Miaka 2000 iliyopita kisiwa cha [[Britania]] kilikaliwa na [[Wakelti|makabila ya Wakelti]] kikavamiwa na [[Dola la Roma]] chini ya [[Julius Caesar]].
 
[[Milki]] kubwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Britania]] ilikuwa [[Uingereza]].