Slobodan Milosevic : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{fupi}}
[[Picha:Milosevic-Lopez cropped.jpg|thumb|Milošević mwaka wa 1996]]
'''Slobodan Milosevic''' ([[20 Agosti]], [[1941]] - [[11 Machi]], [[2006]]) alikuwa Rais wa [[Serbia]] kuanzia 1989 hadi 2000. Pia Milosevic alikuwa Rais wa Jamuhuri ya Shirikisho la Yugoslavia kutoka 1997 hadi 2000. Aliongoza Chama cha Kijamaa cha Serbia kutoka msingi wake mnamo 1990 na aliibuka na kuwa Rais wa Serbia wakati ambao juhudi za kurekebisha Katiba ya Yugoslavia ya mwaka 1974. Katiba hiyo ilikuwa haina uwezo wa kisiasa kuzuia mizozo katika Albania na jimbo la Kosovo la Serbia yaliyokuwa yakitaka kujitenga tangu awali.
 
{{mbegu-mwanasiasa}}