Slobodan Milosevic : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{fupi}}
[[Picha:Milosevic-Lopez cropped.jpg|thumb|Milošević mwaka wa 1996]]
'''Slobodan Milosevic''' ([[20 Agosti]], [[1941]] - [[11 Machi]], [[2006]]) alikuwa [[Rais]] wa [[Serbia]] kuanzia [[mwaka]] [[1989]] hadi [[2000]]. Pia Milosevic alikuwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Yugoslavia kutoka 1997 hadi 2000. Aliongoza Chama cha Kijamaa cha Serbia kutoka msingi wake mnamo 1990 na aliibuka na kuwa Rais wa Serbia wakati ambao juhudi za kurekebisha Katiba ya Yugoslavia ya mwaka 1974 zilikuwa zikianza. Katiba hiyo ilikuwa haina uwezo wa kisiasa kuzuia mizozo katika Albania na jimbo la Kosovo la Serbia yaliyokuwa yakitaka kujitenga tangu awali.
 
Asili ya Milosevic ilianzia katika kijiji cha Lijeva Rijeka pale Podgorica na ukoo kutoka Montenegro. Alizaliwa Požarevac, mji ambao upo kati ya mito mitatu ya Danube, Great Morava na Mlava. Milosevic alizaliwa miezi minne baada ya uvamizi wa Falme ya Yugoslavia uliofanywa na mataifa Ujerumani, Italia na Japan yalikuwa yakifahamika kama Roberto. Milosevic alikuwa na kaka yake ambaye baadaye alikuja kuwa Mwanadiplomasia. Baba yake Milosevic alijiua mwaka 1962.
Line 25 ⟶ 24:
[[Jamii:Waliozaliwa 1941]]
[[Jamii:Waliofariki 2006]]
[[Jamii:Marais wa Serbia]]